Wafuasi wa Rais
Senior Member
- May 31, 2023
- 151
- 147
Hili sio kweli sana. Wananchi wenyewe ndio zao la viongozi hao.Ndio wametufikisha hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili sio kweli sana. Wananchi wenyewe ndio zao la viongozi hao.Ndio wametufikisha hapa
Wananchi hata tukiwajibika wanatufanyia figisu.!!Unaweza kudhani hivyo kwa urahisi. Lakini chimbuko la hili ni kukosekana kwa uwajibikaji wa wananchi wenyewe kwa ajili ya Taifa lao.
Laiti wananchi wenyewe wangekuwa ni wawajibika wazuri wa Taifa lao kusingekuwepo kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye angethubutu kulichezea Taifa hili kwa sababu anafahamu wazi nini atakachokipata kwa wananchi wapenda nchi yao.
Ipo siku maiti zitaamkaNdio wametufikisha hapa
Wananchi ndio wanasiasa. Jamii Bora haiwezi kuzaa kiongozi mwiziHili sio kweli sana. Wananchi wenyewe ndio zao la viongozi hao.
Hapo ndipo kosa la ki ufundi lilipo. Wananchi wengi hawafahamu nguvu na mamlaka walizonazo dhidi ya viongozi wao. Lait wangefahamu na kuzifanyia kazi Afrika ingekuwa bara bora sana Duniani.Wananchi hata tukiwajibika wanatufanyia figisu.!!
wao wameshika mpini, sisi tumeshika makali unadhani kuna kitu kitatokea hapo??
Kweli dada. Binadamu hawezi kuwa mjingi mara zoteIpo siku maiti zitaamka
Sawa kabisa. Kwa mantiki nani anakosea? Ni kiongozi ama wananchi? - ki msingi ni wananchi wenyewe. Kwa sababu hawatumii mamlaka na nguvu zao kuwawajibisha viongozi wao. Na hii inajenga trend kwa kila kiongozi kwenda Kinyume na matakwa ya wananchi.Wananchi ndio wanasiasa. Jamii Bora haiwezi kuzaa kiongozi mwizi
Nini kifanyike??Hapo ndipo kosa la ki ufundi lilipo. Wananchi wengi hawafahamu nguvu na mamlaka walizonazo dhidi ya viongozi wao. Lait wangefahamu na kuzifanyia kazi Afrika ingekuwa bara bora sana Duniani.
Jamii lazimaHapo ndipo kosa la ki ufundi lilipo. Wananchi wengi hawafahamu nguvu na mamlaka walizonazo dhidi ya viongozi wao. Lait wangefahamu na kuzifanyia kazi Afrika ingekuwa bara bora sana Duniani.
Tupo pamoja kaka sema tunatumia lugha tofauti, unapewaje tishrt Ili ukamchague mbunge Mwenye dhamana ya eneo lako?Sawa kabisa. Kwa mantiki nani anakosea? Ni kiongozi ama wananchi? - ki msingi ni wananchi wenyewe. Kwa sababu hawatumii mamlaka na nguvu zao kuwawajibisha viongozi wao. Na hii inajenga trend kwa kila kiongozi kwenda Kinyume na matakwa ya wananchi.
Wananchi hawaamini kuwa wao ndio waajiri wa viongozi wao. Japo katiba imeandikwa hivyo, lakini bado hawajiamini.
Kitu kimoja tu: Wananchi wawajibike kwa ajili ya Taifa lao.Nini kifanyike??
Kivipi sasa?Kitu kimoja tu: Wananchi wawajibike kwa ajili ya Taifa lao.
Wananchi wengi wanaangalia eneo la uchaguzi pekee. Ni kama vile hakuna maeneo mengine kabisa.Kivipi sasa?
Wakitumia sanduku la kura kuwawajibisha, wanaambiwa hata mpeleke kura upinzani ila serikali itaundwa na chama chao.!!
Wakiandamana kudai katiba wanaletewa polisi na wanajeshi wafanye usafi.!!
Upo. Japo ndio hivyo. Wananchi wanawategea viongozi ili wawalaumu wao wakiwa kimyaaaa.Sina hakika kama kuna tofauti kati ya wananchi na viongozi.
😹😹😹 Imebidi nicheke.!!Wananchi wengi wanaangalia eneo la uchaguzi pekee. Ni kama vile hakuna maeneo mengine kabisa.
Unajua ni kwa nini?
Kwa sababu wananchi wengi wanadhani kwa kile kibaya kinachotokea wa kulaumiwa ni viongozi pekee. Yaani ile mentality ya kulaumu ni kubwa sana kwa wananchi walio wengi.
Kwa mfano kuna ubaya gani Jeshi kusaidia kufanya usafi mitaani?
Kuna ubaya gani kwenda mahakamani kupinga matokeo? Mbona mara kibao mahakama imetengua matokeo na kuwapa wapinzani?
Jinsi pekee ya kuwajibika ni kuandamana? Kimsingi maandamano ni njia ya kizamani sana ya kudai haki.
Mfano mwingine:
- Mazingira wanakoishi wananchi wenyewe baadhi ni machafu sana lakini wa kulaumiwa ni viongozi na sio wananchi wanaokaa maeneo hayo. Je, wananchi hawawezi kufanya usafi kwenye maeneo wanakoishi bila kusubiri miongozo ya viongozi?
- Uvunjivu wa maadili mitaani mikubwa kwa nyakati hizi. Je, ina maana wananchi hawawaoni wanaovunja maadili mitaani kwao na kuwachukulia sheria badala ya kukaa kimya na kuwalaumu viongozi?
- Michango ya sherehe vs Michango ya maendeleo ya Taifa. Kila siku kuna michango ya sherehe mbalimbali mitaani lkn hao hao wananchi hawawezi kuchanga kwa ajili ya kujenga daraja lao au kuweka kokoto kwenye barabara wanayotumia kila siku. Wa kulaumiwa ni viongozi.
Kwa kifupi sana, ni kwamba viongozi wanajitahidi pakubwa sana kwa ajili ya Taifa hili wakishirikiana na wale wananchi wanaojitolea kwa dhati kubwa kwa ajili ya Taifa lao.
Sio rahisi kuwaongoza watu wanaolalamika na kutukana matusi badala ya kusaidia. Kulaumu na kutukana ni rahisi sana kuliko kuwajibika kutatua changamoto. Viongozi wapewe maua yao.
Changamoto nyingi za wananchi zipo ndani ya uwezo wao wenyewe kiongozi hapaswi kulaumiwa
Mbona ushahidi upo.wazi mtu anajifanya chura kiziwi ,maoni atasikiliza je ? This Africa 😭😭😭shout and be killedSababu ni moja tu:
Hao wenye maono wamekaa kijiweni. Wanasubiri kuteuliwa ama kuajiriwa. Kazi yao kubwa ni kuongea zaidi kuliko vitendo. Hivyo kulalama na kulaumu bila kuchoka. Afrika karibu yote ina asili ya watu wa aina hii.
Na huu ndio msingi wa ujio wa Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais; ambapo inampa kila mmoja jukwaa walau kujitolea kwa ajili ya Taifa lake vile anavyoona ina msaada kwenye nchi.
Hili la kujitolea ni kwa niaba ya Rais wa nchi ambaye ndio kiongozi mkuu wa wananchi wote.
,👏👏Laiti wananchi wenyewe wangekuwa ni wawajibika wazuri wa Taifa lao kusingekuwepo kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye angethubutu kulichezea Taifa hili kwa sababu anafahamu wazi nini atakachokipata kwa wananchi wapenda nchi yao.
Umenena Mkuu. Tutengeneze Jamii yetu..Wananchi ndio wanasiasa. Jamii Bora haiwezi kuzaa kiongozi mwizi
Ni kwa sababu Wananchi bado wanaamini katika ile imani iliyokuwepo zamani kwamba Uongozi ni Wito 😳Wakuu,
Mie sipendi tubishane sana. Wala si kwamba naleta mambo ya ujuaji kiviiile.
Ukiachana na watu wachache wenye kusifia kila jambo, kama unataka kuamini we ulizia watu 10 hapo mtaani kwenu ni kwa kiwango gani wanaridhika na uongozi wa viongozi wao. Kisha waulize wao wangependa viongozi wao wafanye mambo gani haswa? Bila shaka majibu utakayopata yatakushangaza. Yaani ni kama mbigu na ardhi.
Mfano mzuri: Japo wanasiasa wengi wa Africa hukimbilia kusema vijana wanatumiwa na mashirika ya nje kila vijana wanapopaza sauti zao, ila jaribu kujiuliza ni kwanini Ruto aliamua kufutilia mbali ule mswada baada ya maandamano na si yeye mwenyewe kujua kuwa ule mswada haukufaa hata vijana walipopaza sauti zao kabla ya maandamano?
Mfano mwingine tukisalia hapohapo Kenya, vijana wanadai baadhi ya Mawaziri waliorudishwa ( ambao walikuwepo hapo kabla)hawafai na walitaka mawaziri wapungue kwa idadi ila kupunguza matumizi ya anasa, ila Ruto ameshupaza shingo na kuendelea kufanya atakavyo. Japo nampongeza kwa machache aliyofanya.
Huku mitaani kwetu ukitembelea vijiweni utasikia watu wa kawaida wana maono makubwa sana kuhusu nchi yao na vile wangependa ienende, ila uhalisia ni tofauti kabisa na kinachofanyika.
Watu wana malalamiko kuhusu:
Ufisadi
Rushwa
Kujuana (connection)
Uhaba wa ajira uliopitiliza
Matumizi ya anasa ya pesa za umma
Huduma za elimu, afya za kusuasua n.k
We jiulize tu, hivi kwanini sekta binafsi zinahuduma bora kuliko sekta za umma kwenye elimu, afya n.k? Je, ni kweli Serikali haina fedha za kuwezesha huduma bora kama wafanyavyo Private sectors?
Sasa swali langu, hivi ni kwanini viongozi huwa hawana uwezo wa kutenda kama Wananchi wanavyopenda?
,Inamana kiti cha uongozi ukishakikalia unakuwa unaona tofauti kabisa na waonavyo unaowaongoza au inakuwaje Wakuu?
Mie ningekuwa Kiongozi Mkubwa:
1) Ningekuwa nafanya mpango wa kukusanya maoni na hoja za wananchi nao waongoza angalau kila baada ya mwezi mmoja
2) Baada ya kukusanya maoni na matakwa yao, ningekuwa nafanya analysis juu ya mawazo hayo na kuitisha mjadala wa kitaifa ambako tungejadili suala moja baada ya lingine, yaani hoja kwa hoja.
3) Kisha ningekuwa natoa mrejesho juu ya maoni ya wananchi na nini Seerikali itafanya/ inachofanya..
Haha ha haaa. Huenda haya ni mawazo fyatu lakini mwenyewe sina uhakika ya niwazacho.
Mkuu, umezungumza jambo zito sana. Kwamba zamani uongozi ilikuwa ni WITO ila sasa ni FURSA.Ni kwa sababu Wananchi bado wanaamini katika ile imani iliyokuwepo zamani kwamba Uongozi ni Wito 😳
Lakini kwa bahati mbaya au nzuri kwa upande mwingine mambo yamebadilika kwa sasa uongozi una fursa nyingi za kutajirika!
Kuanzia mishahara minono na marupurupu kede kede na mengineyo mengi !
Sasa kwa kuwa ilisemwa huwezi kutumikia mabwana wawili,
Hivyo ndivyo ilivyo na itabaki kuwa hivyo !🙄👍🙄