masterplanner
JF-Expert Member
- Oct 23, 2015
- 268
- 342
Ufisadi
Rushwa
Kujuana (connection)
Uhaba wa ajira uliopitiliza
Matumizi ya anasa ya pesa za umma
Huduma za elimu, afya za kusuasua n.k
Viongozi wa Afrika kudeal na haya mambo ni sawa na kukata tawi ulilokalia, kwakuwa watu wanaofanya hivyo vitendo ni watu wa karibu na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki wanaowazunguka hao viongozi , tena wengine walishiriki kwa hali na mali kuhakikisha kiongozi anashika madaraka, sasa inakuwa ngumu kiongozi kudeal na hayo mambo.
Ili kudeal na hayo mambo inabidi ujitenge na makundi yenye maslahi. NOT BE PART OF THEM.
Kumbuka kujitenga na makundi yenye maslahi ni kucheza mchezo wa kifo.