Kwanini wanaume hatusherehekei siku zetu za kuzaliwa?


Birthday kishwahili chake ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa

Sasa tuulizane kwenye hiyo siku ya kuzaliwa unakuwa unakumbuka nini maana wakati unazaliwa hukuwa na idea yoyote kwamba ndo umezaliwa wala hukumbuki lolote siku ulipokuwa unazaliwa

Hapo unakuwa unasherekea kumbukumbu gani ambayo huna lolote kichwani??
Ivi wanaosherekea hii siku wanaweza kutwambia wanakumbuka siku zao za kuzaliwa zilikuwaje? Matukio gani yalitokea?

Atleast mzazi wangu anaweza kusherekea siku ya kuzaliwa kwangu maana anakumbuka kitu wakati ananizaa
 
Ukiona mwanaume yupo serious anafikiria kujifanyia party ya birthday ujue ana matatizo... Hata hawa watoto wa kiume mna waharibu kuwafanyia birthday party... Mwanaume birthday ikifika piga goti mshukuru Mungu kimya kimya endelea na maisha
 
Mkuu hakuna kitu umezuiwa kufanya niwewe tu na maamuzi yako au unataka ruhusa kutoka kwetu?[emoji16]
 
Unasherekea kuzeeka?
 
May i be your dear future husband?
 
Correct mkuu.
 
Wanaume wa dar usimpom-wish kwny birthday yake anakununia.

Nasema uongo ndg zanguuuuhhh?
 
Binafsi nahusisha birthday na vitendo vya ushoga, Mwanaume anayefanya birthday ukimchunguza vizuri utakuta ana hormone fulani na hii ni common kwa wanaume wa dar.

Kwangu mimi kufanya birthday ni sawa na kuusaliti ukoo na wanaume wenzangu dunian kote, Mwanaume wa kweli hawezi kukata keki na kuimba birthday huo ni upuuzi. Kwanza hata kujipost siku ya birthday bado naona sio uanaume. Uanaume ni kukaza hizo birthday tuachie wanawake.
 
Hayo ya wanawake na watoto. Wanaume tuna majukumu na wajibu mkubwa wa kutimiza katoka familia kuliko kuwaza vitafrija kama hivyo!!
 
NI SHEREHE MAALUMU KWA WASIO NA MAJUKUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…