Kwanini wanaume hatusherehekei siku zetu za kuzaliwa?

Kwanini wanaume hatusherehekei siku zetu za kuzaliwa?

Tuna mambo mengi ya kufanya. Ni sawa na Kuuliza, kwa nini wanaume hatutumii muda mrefu salun.
 
Ila Jamani mwanaume kusherekea siku ya kuzaliwa Tena umejiandalia mwenyewe,😂😂😂😂hainogi..
 
Binafsi nina mambo mengi ya kufanya hivyo siwezi kuzingatia vitu vidogo vidogo kama ivyo, Kuna kipindi nilifanyiwa surprise na wife lakini sikutokea kwenye hiyo birthday yangu, kwasababu nilikuwa sijui kama ni siku ya birthday yangu

Kwa mtazamo wangu naona birthday ni nzuri kwa wanawake maana wanapenda sana sherehe na kuvaa kupendeza pendaza pia ni namna mpya kwa wanawake kutambiana na kuonyeshana ufahari baina yao.

mfano ;- Kuna dada mmoja aliamua kumfanyia mtoto wake birthday ambapo alitumia karibia nusu ya mtaji wake wa biashara ,akaanza kuomba omba baada ya birthday kuisha na mtaji umekata alikuja kwangu nikamchana laivu na kumwambia hauna akili hata kidogo
Huyo mdada alizingua pakubwa
 
Binafsi nahusisha birthday na vitendo vya ushoga, Mwanaume anayefanya birthday ukimchunguza vizuri utakuta ana hormone fulani na hii ni common kwa wanaume wa dar.

Kwangu mimi kufanya birthday ni sawa na kuusaliti ukoo na wanaume wenzangu dunian kote, Mwanaume wa kweli hawezi kukata keki na kuimba birthday huo ni upuuzi. Kwanza hata kujipost siku ya birthday bado naona sio uanaume. Uanaume ni kukaza hizo birthday tuachie wanawake.
Too far mkuu....

It's about hobby
 
binafsi naonaga wanifanyie my loved ones... wakikumbuka fine ntasherehekea wakisahau imeisha hiyo

Kuna hisia tamu kama ni birthday yako na ukajua siku imepita tu... unashangaa unafanyiwa suprise at least hiyo inafanya uhisi uko loved & valued

If you’re lucky s.o.b
 
Sijawahi kusheherekea hayo makitu hata siku moja.

Tofauti sana
 
Back
Top Bottom