Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mdada alizingua pakubwaBinafsi nina mambo mengi ya kufanya hivyo siwezi kuzingatia vitu vidogo vidogo kama ivyo, Kuna kipindi nilifanyiwa surprise na wife lakini sikutokea kwenye hiyo birthday yangu, kwasababu nilikuwa sijui kama ni siku ya birthday yangu
Kwa mtazamo wangu naona birthday ni nzuri kwa wanawake maana wanapenda sana sherehe na kuvaa kupendeza pendaza pia ni namna mpya kwa wanawake kutambiana na kuonyeshana ufahari baina yao.
mfano ;- Kuna dada mmoja aliamua kumfanyia mtoto wake birthday ambapo alitumia karibia nusu ya mtaji wake wa biashara ,akaanza kuomba omba baada ya birthday kuisha na mtaji umekata alikuja kwangu nikamchana laivu na kumwambia hauna akili hata kidogo
Too far mkuu....Binafsi nahusisha birthday na vitendo vya ushoga, Mwanaume anayefanya birthday ukimchunguza vizuri utakuta ana hormone fulani na hii ni common kwa wanaume wa dar.
Kwangu mimi kufanya birthday ni sawa na kuusaliti ukoo na wanaume wenzangu dunian kote, Mwanaume wa kweli hawezi kukata keki na kuimba birthday huo ni upuuzi. Kwanza hata kujipost siku ya birthday bado naona sio uanaume. Uanaume ni kukaza hizo birthday tuachie wanawake.
😂Bas sawaMuda meingine mambo huwa yanakwenda kinyume na matalajio...... kwahiyo me nipo kama jamaa akikuzingua
Najua upo Dar, ila mitaa gani?Mm nataman kusheherekea ila nakosa pesa tu