Kwanini wanaume hawapendi kutumia condom?

Condom for what?
 
Wanawake wapumbavi sana yaani penzi la mpito na mdangaji anataka uptime nae , kisha baada ya majibu? Mwanamke kama unamfumo wako wa kudanga mkataba ni condom basi, msisitizo kazia condom habari ya kupima wewe sio bibi harusi mtarajiwa
 
mwanaume hatakiwi kueleweka kwa mwanamke hatakidogo kama ulivyo ainisha hapo "inshort haeleweki"

Ila kama unataka avae condom siku akikuletea zawadi ya lolipop inyonye ikiwa kwenye makaratasi yake.

Nb: Ukimwi upo tumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…