Kwanini wanaume hawapendi kutumia condom?

Kwanini wanaume hawapendi kutumia condom?

Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
Condom for what?
 
Wanawake wapumbavi sana yaani penzi la mpito na mdangaji anataka uptime nae , kisha baada ya majibu? Mwanamke kama unamfumo wako wa kudanga mkataba ni condom basi, msisitizo kazia condom habari ya kupima wewe sio bibi harusi mtarajiwa
 
Kwanini mwanaume hapendi kutumia condom? Anasingizia haiwezi kusimama, na ukimwambia tukapime anasema ntapima ntakavojiskia sio kunilazimisha mara Sijui tukipima tutakua free sana itakua risky
Yani inshort haeleweki.
So nimblock uyu mwanaume Au nimwambie tu we are better off as friends.
mwanaume hatakiwi kueleweka kwa mwanamke hatakidogo kama ulivyo ainisha hapo "inshort haeleweki"

Ila kama unataka avae condom siku akikuletea zawadi ya lolipop inyonye ikiwa kwenye makaratasi yake.

Nb: Ukimwi upo tumia akili
 
Wapi Tena mdogo wangu
1727681067676.png

Hii hapa comment ya uji uliousema una raha yake
 
Back
Top Bottom