Kwanini wanaume huchepuka?

Nijue namna ya kumdhibiti mwanaume wangu asiwe mchepukaji
Kila mwanamke anataka kumdhibiti mume wake asiwe mchepukaji. Na njia anayoitumia kumdhibiti ni kumkaripia, kumpigia makelele, kumhisi mda wote anachepuka na kumuambia"najua uko kwa wanawake zako", na kumnyima papuchi..!
 
Mwanaume ni kama msoma vitabu na mwanamke ni kama kitabu... Msoma vitabu hawezi akawa anasoma kitabu kile kile kila siku.
 
moja ya kitu kinachotutofautisha tabia za binadamu na wanyama ni akili/UTASHI wa kutambua mema na mabaya.Kuhusu tamaa ya zinaa inavyowaka kwa mnyama kama kuku jogoo ama mbwa n.k ndivyo ilivyo kwa binadamu.Kama hutafanya maamuzi yako kwa kutumia akili ukiruhusu tamaa /hisia mbaya za mwili zitawale akili yako hasa kwenye hili la tamaa ya ngono na uzinzi ni rahisi kutenda kama wanyama.Na tamaa hii haina kiu hii ni endelevu kadiri utendaji kazi wa maumbile ya mwili.Ndio maana baadhi ya binadamu mfano wagonjwa wenye baadhi ya changamoto za magonjwa ya afya ya akili,kwenye suala la ngono hushindwa kuzuia hisia zao kama wanyama wasio na akili.
 
Shida madem wanashoboka wenyewe na sisi wanaume hua hatupendi kuonekana Maboya ..

Guess what next?
 
Kuweza kuwa na mwanamke mmoja au mwanaume mmoja tu maishani ni ugonjwa.
Kwann ni ugonjwa? Nyie wanawake mkipenda si mmependa kweli? Au na nyie mnaweza kushare penzi kwa wanaume tofauti tofauti?
 
Kwann ni ugonjwa? Nyie wanawake mkipenda si mmependa kweli? Au na nyie mnaweza kushare penzi kwa wanaume tofauti tofauti?
Nyie si mnasema kuchepuka haimaanishi humpendi mke wako? Na sisi ipo hivyo hivyo...tunawapenda lkn kuchepuka kuko pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…