Kwanini wanaume huchepuka?

Msijisahaulishe sisi binadamu ni wanyama kama wanyama wengine.Mnyama dume huwa na milki ya majike mengi kadri ya uwezo wake wa kuwamiliki.Mfano jogoo moja la kuku huwa na mitetea zaidi ya mmoja na wanyama wengine pia
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Mungu ameumba hivyo - kuwa na mke mmoja ama wawili ni umaskini tu.
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Ulishawahi kuona mtu anaenda kununua nguo akiwa uchi??? au wewe kununua nguo inamaanisha huna nguo??
 
Jua tu hayo ni maumbile ya asili ya mwanaume ujiulize tu kwanini hawa tunaoita waziri hapa kwetu hawaolewi na wakiolewa hawamalizi miaka mitatu,fahamu pia uzuri wa mwanamke ukiwa haujamvua nguo ukishamvua ndani ya miezi mitatu thamani haipo ndio maana tunahitaji mwingine
 
Kwa hiyo unamaanisha thamani ya mwanamke ipo kwenye chupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…