Kwanini wanaume huchepuka?

Wanaume ambao hawachepuki wapo wengi na wapo ambao pia hayajawahi kufanya sex sema mnakutana na wanaume wajanja ndio ambao ni malaya na kuna wengine sio malaya sema kuna sababu zinazowafanya wachepuke kama kunyimwa tendo, makelele ya mke n.k
Mboga moja inachosha kwa watu wote
 
Nitarudi tujadiliane
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Tuache kwanza ndio kwanza tunatafuta wengineπŸ˜‚
 
DSTV wazuri ila azam nayo ina ladha yake.!!
Waacheni wanaume wapate burudani msiwabane bane..!!
Wewe ukiambiwa utazame TBC mwaka utaweza?!!

My husband to be kokote ulipo onja mapishi mbalimbali kwa raha zako 🀣🀣🀣
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Hawa unaoita wakaida ndio wazuri πŸ˜…
 
DSTV wazuri ila azam nayo ina ladha yake.!!
Waacheni wanaume wapate burudani msiwabane bane..!!
Wewe ukiambiwa utazame TBC mwaka utaweza?!!

My husband to be kokote ulipo onja mapishi mbalimbali kwa raha zako 🀣🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii umeandika ukiwa Tungi ngoja pombe ziishe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€usije kukana my wii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…