Sii tulishamaliza haya maswali... Hahaha...Hujajibu Ujue.
Kwanini mnachepuka??
Tukanyongwe na nani?Mjuane halafu mkanyongwe sio?
Sauuwa boss πSii tulishamaliza haya maswali... Hahaha...
Akikujibu nitag π€£π€£Hujajibu Ujue.
Kwanini mnachepuka??
Mwanaume lazima awe na wanawake zaidi 1 tofaut na Hilo ni tatizo kubwa mno kwako hujaumbwa hivyoTukanyongwe na nani?
Huo ni mtazamo wakoMwanaume lazima awe na wanawake zaidi 1 tofaut na Hilo ni tatizo kubwa mno kwako hujaumbwa hivyo
Najua hawezi kukupa jibu π
Wenzio wamesema wanachepuka sana tu, na mna hatimiliki ya kuchepuka.
mke anampa tiGo?Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Sema wetu na wengineHuo ni mtazamo wako
Hapana ni vile tu tunakutana kwenye uziIla ww ss hivi unanifatilia sana πππ
Usilazimishe na wengine waingie kwa mtazamo wakoSema wetu na wengine
MhUnakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?