Kwanini wanaume huchepuka?

Kwanini wanaume huchepuka?

Mwanaume ni mtu Ambae anatafuta ridhki zake sehem zenye heka heka na makelele ivyo akilud nyumbani anaitaj utulivu wa Hali ya juu kupumzisha mwili,ila akilud nyumbani akakuta mikelele Tena kama alipo Toka kazini baasi apo ndo linapo Anza tatizo, mwanaume ni kiumbe ambacho akipend makelele akiwa mapumzikoni.
Nawakilisha hoja kisomi kabisa😂🙏🏽.
Hii ni excuse Ambati huwa inatumiwa Ku justify cheating behaviour
 
....sababu nyingi sana midomo wanawake....dharau .....kiburiii pia wao kuchepuka.....wanaume hutafuta shoulder to cry.....nyumba zina sori kubwas na nyingiii
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Swali halina usawa wa kijinsia,. Wanawake nao ni 🔥 vilevile,. Ila kwakuwa umependa tujadili Kwa wanaume Leo basi NAMI nawahimiza wanaume tuoe wake wawili au watatu na mwisho wanne. Kuchepuka ni dhambi kubwa sana.
 
Mwanamke akili yake akikunyima tendo hata wiki au mwezi anajua anakukomesha au ni mvumilivu kumbe ndio anatoa mwanya akabandue nje ndio maana hivi vitoto vya 2000 vinapiga kazi kweli kweli sababu wamama akili zao hazijaamka na kwa kuona hilo vimejazana kwenye ma baa vya kutosha vyote rika moja vinawinda waume za watu.
 
Mwalimu
Upi huo? Hakuna mwanaymwenye mke moja la sivyo huyo dume ana mapungufu, mgonjwa.
Mwakasege ana mke mmoja tu anaitwa Diana, hana mchepuko unalijua hilo?

Nabii mkuu ana mke mmoja na michepuko 40.

Bado unaweka wanaume wote kwenye kundi la mbwa?

Acha ujinga, kuna wanaume wajinga like you and nabii mkuu ambao kila demu anapita naye
 
Lazima tukubali kwamba maumbile yapo tofauti kutokana na hilo wanawake wanajiporosha kwa kauli ya utamaliza mabucha Nyama ni ileile. Kauli mbaya,kutokuwa na maongezi mazuri ni chanzo pia.Kupuuza mambo madogomadogo kama vile usafi kuto kumvutia mume ili akutamani. Hayo ni baadhi ya mambo yanayowafanya wanaume wanaswe na michepuko ambayo hujifanya wanajali kwa kila kitu hawana dogo.
Nini kifanyike Mwanamke usiizoee ndoa,kuwa msafi nukia iga vituko vya malaya,Kauli njema mteke mume apende kuongea nawe kwa muda mrefu,Mpandishe hamu achana na kumbana na kufuatilia na kuwa na mashaka kwa kila jambo na kuleta lawama zisizo na mwisho gubu nk.
 
Kwa namna ya kimwili,wakati mwingine mwili unawaka tamaa mbaya na hata akili inafikiri mawazo mabaya na kupelekea kutenda dhambi ya uzinzi.Tofauti na wanyama binadamu Mungu kampa utashi/akili ya kutambua jema na baya pia kampa UWEZO wa kushinda majaribu(tamaa mbaya,mawazo mabaya,dhambi).
1)Kwa kutumia akili Mungu alizokupa
2)kwa kutumia nguvu ya kiroho au kiimani..mfano watawa wa imani za kibudha,au imani fulani au sheria fulani zinazoweka ukanuni zinazokataza uzinzi kwa muumini wa kweli mwenye kuishi imani yake kwa matendo akiwa na hofu kubwa ya kumtenda dhambi Mungu wake au miungu yake mfano hata wanaopewa masharti na waganga wa kienyeji kwamba siku akizini atapata madhara fulani mathalani hasi ,mfano akikiuka masharti atapoteza hali/nafasi cheo/uhai atakufa,ama mtu anaogopa kumtenda dhambi Mungu wake kwa kuogopa kuvunja mahusiano mazuri na MUNGU wake /au imani yake na kuogopa madhara ya kutenda hiyo dhambi kadiri ya imani yake.
Ukiruhusu tamaa za mwili zikuongoze hii desire/kiu ya uzinzi ukiendekeza kiu hii haijawahi kutosheka na haitakaa itosheke.Ni imani ya kiroho au maamuzi magumu ya akili yako kuikataa kwa sababu za kiimani ama msimamo mkali.lakini pia pamoja na imani yako ama msimo wako hautakuwa free from kujaribuiwa na tamaa za mwili zitaendelea kuwaka kukusumbua ila kadiri muda unavyoenda utajikuta unazoea kuishi maisha ya mke mmoja bila kuchepuka na ukiongeza uhisiano wako na imani yako/kukua kiroho mwisho kabisa UTAFAULU /Utashinda fhambi ya uzinzi. Epuka vishawishi,kuwepo maeneo au kushiriki kutazama kusikiliza ama kufikiria vishawishi vya ngono.INAWEZEKANA,na tupo tuliofanikiwa kuacha uzinzi michepuko.Vitu vingine ni kujiendekeza kwa maana kuruhusu akili yako itawaliwe na kuamini imani potofu kuwa haiwezekani,ukiamini haiwezekani kwako itakuwa hivyo ila ukiamini unaweza utaweza.Kwa uzoefu wangu suala la kuacha zinaa linaamuliwa na wewe mwenyewe sio hata la kwa njia ya kuomba inabidi ianzie moyoni mwako na wewe mwwnyewe usumamie maamuzi yako kuamua kujikana kwa akili yako kisha utafute mbinu zitakazosaidia kufanikisha maamuzi yako ya KUIKIMBIA ZINAA mbinu hizo ndio hizo za kuvikwepa vishawishi,na kupalilia imani yako ya kiroho au sababu iliyokufanya uikimbie zinaa.
 
Wewe unajua uzuri wa mke ni nini aswa mkuu
Mwanamke hapaswi kuuliza ama kuulizwa swali kama hilo.

Ila ikiwa wewe ni me hilo swali ulipaswa uweke na jibu lake.

As a man najua uzuri wa mke upo katika upole, upendo uvumilivu, uaminifu, kutokumbania papuchi mumewe.

Huyo ndiye mwanamke mzuri, je wewe upo hivyo?
 
Back
Top Bottom