Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wanaume wanakutana na Unyanyasaji wa kijinsia ila kuripoti na kupata msaada wamekuwa wagumu,
Nini kinasababisha Wanaume kukaa kimya?

Weka maoni yako!
 
Hivi ni kweli mwanaume anapopigwa na mwanamke huwa anakua amezidiwa nguvu au ndio kubali yaishe?
 
Unaenda kwa mwanaume mwezio kusema umepigwa na mkeo? Au Watton, au nani atatusikiliza hizo maada?
 
Tena hasa hawa wliojichanganya kuoa waajiriwa wana stress za kufa mtu wee acha tu, wanachapiwa na la kufanya hawana kuna mmoja jiran yangu alikuwa anaongea peke yake mzee wa watu hakupita muda yakamshinda kamwachia mke kila kitu kaenda kuanza maisha mapya, anasema mke alitaka kumpa kesi ya kubaka ili akafie jela!
 
Back
Top Bottom