Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Nashukuru kwa hii shule mutlibu. Wengine shule zetu tulihangaika na makalkuleshen zaidi.
Ntazingatia, ahsante.
haahaa! Mzee wetu inaonesha ww ni kichwa sana kwenye mabo hayo........ Nmeona umejaribu kuongea ukweli ambao unafichwa na hawataki kuukubali. Kweli ww kama Warioba