Nashukuru kwa hii shule mutlibu. Wengine shule zetu tulihangaika na makalkuleshen zaidi.
Ntazingatia, ahsante.
aiseeeeeewengi wa wanaochepuka huwa wana dushelele kuanzia nchi 6.5 na kuendelea
fuatilia hii case study utaniambia kuwa ni kweli.
yani ukishasifiwa tu na Munkari, basi utataka ichana, sweetlicious, preta, karucee, na king'asti wajue!
lazima uchepuke tu kutangaza ubingwa..
FYI hakuna midume inayojali familia zao kama michepukaji. I tell you me.
Umenifurahisha kwa kusema ukweli. Wanawake wengi wanajua midume yao inacheat. Wengine wanavumilia, wengine wanakosa ushaidi. kama pia ambavyo wanaume wengi wanajua wake zao huchepuka sema tu hawana muda na wengine hawataki kufuatilia.
binadamu hachungiki wala hafugiki. huo ndo ukweli halisi.
mmmh nisamehe tu babu ingawa sijajua kosa langu bado
Tamaa tu!!!!!! si unaona hata jogoo anapenda kuwa na majike mengi ili aonekane tu na yeye anajua kufanya jike atage.
Jeez!!! kumbe? Ustaarabu wako umeupeleka wapi tena bibie? Haya maneno umeyaandika wewe? Afu kweli unanambia mi bado nakua? You are not fair aisee.
Hahaaaa umeona mkuu huyo mama nadhani ni wale akina mama ntilie wa Mwananyamala... Hana ustaarabu... Mzaramo huyo
kwetu tunaita kurumbembe..............
Hahaaaa umeona mkuu huyo mama nadhani ni wale akina mama ntilie wa Mwananyamala... Hana ustaarabu... Mzaramo huyo
Hahaaaa umeona mkuu huyo mama nadhani ni wale akina mama ntilie wa Mwananyamala... Hana ustaarabu... Mzaramo huyo
Hehehehee..bado una hasiraa yalikuongiajee??..ita vyovyoytee bt ukweli nishakupaa limbukeni wewee bdala ufanye kazi kuongeza kipato kuendekeza ngono afu unataka uheshimike.akuheshmu nani kwakwakwaaa
It takes a witch to know a witch.. wewe sasa nimeamini wewe jike..unashndaga nao hao kna mama ntillie na wazaramo ndio maana unawajua kuwa hawana ustaarabu..heheheeh jamani kikwwte say something puliziiii uwii kama museven uku hali ni mbayaaaa....