Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini sõmo limekuingia na utalifanyia kazi.
You see? Unakuja kwenye point yangu. So long inawezekana ananicheat pasi mimi kujua huo sasa ndo mpango mzima. Siwezi poteza muda wangu kumfuatilia binadamu. Binadamu hachungiki. Naye asijiue kwa presha kunifuatilia. Namcheat kwa nidhamu.
Sijuti na wala sina sababu ya kumfuatilia kama ananicheat maadam ameamua kunicheat kwa heshima. Nami pia sioni mantiki ya kunifuatilia labda tu kama anataka afe kwa presha.
Mpendwa, infidelity is inevitable, cheat responsibly, save your marriage. Period!!!!
Wanawake wa sasa hivi sio wa miaka ileeee ya kulia lia ovyo eti mume anacheat.................hapana na sie siku hizi tumejanjaruka tena sio kidogo....
msijidanganye sana kwa wanawake kukaa kimya mkawaona wajinga lol
Hujambo lakini Asprin
hee makubwa
Wanawake wa sasa hivi sio wa miaka ileeee ya kulia lia ovyo eti mume anacheat.................hapana na sie siku hizi tumejanjaruka tena sio kidogo....
msijidanganye sana kwa wanawake kukaa kimya mkawaona wajinga lol
Hujambo lakini Asprin
Subiri ukiwa mkubwa afu ukaingia kwenye hii taasisi ndo utanielewa vizuri....
Sijambo mpenzi, nimekumis kama navoimisi keki yangu ya arusi.
Na uzee huu kuna kukuwa tena..................nipo kwenye hii taasisi kuanzia ukiwa darasa la 5 b
english cake au ndafu?
Wala hayana ukubwa wowote.....................ya kawaida sana tu!!!!!!!!!!
yapi hayo Mbaraka Issay?tupatie basi na sisi tufaidike kutokana na yo usituache hivi hivi.Mimi mpita njia tu leo, ila nimejifunza mengi sana.
sasa kama ndio hivyo kwanini dini zingine zinapinga ndoa za wake wengi?
Inategemea na aina ya mwanamke uliemchagua awe mkeo.Kama ulikurupuka na kuchukua alie chini ya kiwango jua kila utakaepishana nae utamwona ni zaidi ya wa kwako.Utakua dungadunga mwisho wa siku mradi wa damu salama hautakuhusu.
Asilimia kubwa ya wanaume walio ktk mahusiano wanachepuka na hata wakiingia ktk ndoa haka katabia hakaishi. Genetical mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hii nguvu ya asili ni ngumu kuishinda. Sio mbaya mara moja moja kuwa na mechi za nje ila kuwa makini tu achana na michepuko ya vumbi utachakaa.