Kwanini wanaume huwa na michepuko?

thuuuuuubutu never hilo soma wala haliniingiii akili hata kidogo,ila as for you kwa sababu una king'ang'a kama luba basi sawa bau suite youself.
Naamini sõmo limekuingia na utalifanyia kazi.
 
Wanawake wa sasa hivi sio wa miaka ileeee ya kulia lia ovyo eti mume anacheat.................hapana na sie siku hizi tumejanjaruka tena sio kidogo....

msijidanganye sana kwa wanawake kukaa kimya mkawaona wajinga lol

Hujambo lakini Asprin
 
Last edited by a moderator:

hee makubwa
 
Subiri ukiwa mkubwa afu ukaingia kwenye hii taasisi ndo utanielewa vizuri....

Sijambo mpenzi, nimekumis kama navoimisi keki yangu ya arusi.
 
Last edited by a moderator:
Subiri ukiwa mkubwa afu ukaingia kwenye hii taasisi ndo utanielewa vizuri....

Sijambo mpenzi, nimekumis kama navoimisi keki yangu ya arusi.

Na uzee huu kuna kukuwa tena..................nipo kwenye hii taasisi kuanzia ukiwa darasa la 5 b

english cake au ndafu?
 
Asilimia kubwa ya wanaume walio ktk mahusiano wanachepuka na hata wakiingia ktk ndoa haka katabia hakaishi. Genetical mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja hii nguvu ya asili ni ngumu kuishinda. Sio mbaya mara moja moja kuwa na mechi za nje ila kuwa makini tu achana na michepuko ya vumbi utachakaa.
 
sasa kama ndio hivyo kwanini dini zingine zinapinga ndoa za wake wengi?
 
Inategemea na aina ya mwanamke uliemchagua awe mkeo.Kama ulikurupuka na kuchukua alie chini ya kiwango jua kila utakaepishana nae utamwona ni zaidi ya wa kwako.Utakua dungadunga mwisho wa siku mradi wa damu salama hautakuhusu.

Mkuu unakubaliana na mimi wanawake wanazeeka haraka kuliko wanaume? Mke anakuwa bibi mume bado kabisa kijana halafu ila siku wanazid kuzaliwa wazuri
 
umeongea ukweli japo wengi wetu tunajifanya hatupendi michepuko lakn kubaki njia kuu kwa mwanaume ni kaz sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…