Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Wanaume Kwanini haturidhiki na Mwanamke mmoja kwani akichepuka si anachepukia kwa mwanamke mwenzake ?????? na nyie wanawake Mbona hatulii na mwanaume mmoja????
 
mamaaaaa!!miss chaga mama mbona unazidi kuwapa kichwa??
hata usipowapa akili zao ni kuingiza kila shimo... hwana tofauti na beberu hawa.. ndiyo maana ukikaa vibaya utakuta amemla hata mwanawe
 
men species... akili imevurugika sijui...hua siwaelewi...au upendo ndo umechakachuliwa... they never get enough..SITASHANGAA mume wangu akitoka nje japo ananipenda ,,tho it hurts...bt these species i dont understand them:confused2: uongo mwingiii... macho juu juu:blabla: ..... wachache sana wateule nawaita may be wapo.......any way... naacha tu ...hasa miafrika , mi tz...mi bongo...tumezidiii.. kucheat lol. sina maana huko wenzetu wanaume hawacheat, they do bt not to our level.. at least they are trying to be honest compared to us...:disapointed:
 

Viva wanaume wa Bongo! Kama haujui kitunza chako, tulia itunziwe!
 
ctakusahau

Koz ni kama kila siku ule wali.? Hata kama upo boarding utachoka na utafanya mgomo mnataka ugali na bnz zilizooza...! Rodger dat

Nadhani unataka kusema na wanawake wabadilishe ladha kila siku, nao wakichoka bamia kila siku watafute mihogo na vyakula vingine!!
 
Last edited by a moderator:
hebu mtuache sie wanaume walau na sie tupumzike. nyie ni kero kubwa kwenye uhusiano na mara nyingi mmesababisha tutumike maeneo mengine ya uwekezaji! hata hivyo cku hizi nanyie mna tumiwa na watu kibao tu at the same time, so kila mtu ajue biznes yake hakuna kuulizana!!
 
Kwani mwanamke nae anatoshelezwa na mwanaume mmoja noop
 
Na Ndio Maana Cku Hz Tunawaumiza Vbaya Tunachukua Hata Watoto Wenu Ili Muache Ushenzi Wenu

Kwa kufanya hivyo hamuoni kama wanawake mnajidhalilisha? Kumbuka mwanamume malaya na mwanamke malaya wakasimamishwa mbele za watu kwa sababu ya umalaya wao atakayeaibika ni mwanamke. Hata kwenye bible mwanamke mzinzi ndiye alitakiwa apigwe mawe na si mwanamume. Mwanamke asiye na sifa ya umalaya kwenye jamii anaheshimika sana hata mbele za Mungu. Wewe endelea kubofya vivulana vidogo lakini ujue vinakudharau kuliko maelezo.
 
wewe.... Unakumbuka raisi clinton na monica, mwana wa mfalme charles na camila hata diana hajaachika, sio waafrika .

nayule mbungewetu alitupiwa mtoto ofisi zabunge??

Yule mkuu wetu. Wa upinzani. Nakashfa ya dubaï tukaletewa cheti cha mtoto anapelekwa mwananyamala jinalilelie unahisi wanapenda hawa uliza humondani

unahisi. Mnyika nawengine awapendi kuwoowa
 
nayule mbungewetu alitupiwa mtoto ofisi zabunge??

Yule mkuu wetu. Wa upinzani. Nakashfa ya dubaï tukaletewa cheti cha mtoto anapelekwa mwananyamala jinalilelie unahisi wanapenda hawa uliza humondani

unahisi. Mnyika nawengine awapendi kuwoowa

Mpwaaaa salama..wakubwa wamenifungulia bwana...sasa nina nidhamu kweli ya ku post
 
kwa sababu ni polygamist by nature.. remember u cant change nature.. pole sana..

pia ni watafutaji na mtafutaji haridhiki na akiridhika anatatizo.. hoja nyepesi za ukweli
This is a lie!!men are polygamists by nature? no no. you mean men are essentially polygamists, this cannot be,
what do you mean by nature?
keep in mind,not all men are doing that. In fact, what about women who do the same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…