Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huwapendi wanaume si ukae utulie kwa amani!!! Mbona waja kubwabwaja huku? au umetendwa???
Jamanii mkishakula simna shiba..? tupeni rukhsa tugawe chakula kwa wenye njaa!! (inaitwa ukarimu) ctakusahau madamu hakuna upungufu nyumbani...Mmmmmm, na mwanamke ameumbiwa kula same meal 24/7 eeh?
Cha msingi ni kuwa shareholder mkubwa tu!
hata usipowapa akili zao ni kuingiza kila shimo... hwana tofauti na beberu hawa.. ndiyo maana ukikaa vibaya utakuta amemla hata mwanawemamaaaaa!!miss chaga mama mbona unazidi kuwapa kichwa??
la boyfriend wangu najua tu analitembeza hukohahaa we umeshea la nani?
men species... akili imevurugika sijui...hua siwaelewi...au upendo ndo umechakachuliwa... they never get enough..SITASHANGAA mume wangu akitoka nje japo ananipenda ,,tho it hurts...bt these species i dont understand them:confused2: uongo mwingiii... macho juu juu:blabla: ..... wachache sana wateule nawaita may be wapo.......any way... naacha tu ...hasa miafrika , mi tz...mi bongo...tumezidiii.. kucheat lol. sina maana huko wenzetu wanaume hawacheat, they do bt not to our level.. at least they are trying to be honest compared to us...:disapointed:
ctakusahau
Koz ni kama kila siku ule wali.? Hata kama upo boarding utachoka na utafanya mgomo mnataka ugali na bnz zilizooza...! Rodger dat
Viva wanaume wa Bongo! Kama haujui kitunza chako, tulia itunziwe!
Na Ndio Maana Cku Hz Tunawaumiza Vbaya Tunachukua Hata Watoto Wenu Ili Muache Ushenzi Wenu
wewe.... unakumbuka raisi clinton na monica, mwana wa mfalme charles na camila hata diana hajaachika, sio waafrika .especially if the nature has its roots in traditional Africa...
Mfalmeq.seleman
mfalmeq.daudi
nk
pitiahao cheki. Kwaniniq.walikuwaq.wanawakeq.wengi. Mpakawanakufa
wewe.... Unakumbuka raisi clinton na monica, mwana wa mfalme charles na camila hata diana hajaachika, sio waafrika .
nayule mbungewetu alitupiwa mtoto ofisi zabunge??
Yule mkuu wetu. Wa upinzani. Nakashfa ya dubaï tukaletewa cheti cha mtoto anapelekwa mwananyamala jinalilelie unahisi wanapenda hawa uliza humondani
unahisi. Mnyika nawengine awapendi kuwoowa
This is a lie!!men are polygamists by nature? no no. you mean men are essentially polygamists, this cannot be,kwa sababu ni polygamist by nature.. remember u cant change nature.. pole sana..
pia ni watafutaji na mtafutaji haridhiki na akiridhika anatatizo.. hoja nyepesi za ukweli