Kwanini wanaume huwa na michepuko?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamtetea....


Think about it. Ingekuwa umeanzisha mada kwa nini wanaume wengi wanakuwa mashoga labda ungekuwa na hoja. lakini suala la kuchepuka..ni la wawili..mtu mume na mtu mke.

Now,
- kuna waume za watu wanachepuka
- kuna wake za watu wanachepuka
- kuna wachumba wanachepuka (refer: alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi..)

So, ukiona wanaume wengi wanachepuka ujue pia wanawake wengi wanachepuka pia!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mmezid

chaaa!
 

Wanawake wanaboa na siku zote huwa wanakinaisha
 

Jifunze tabia za viumbe vyote wa kiume!
 
Na akisema amwache mkewe amwoe mchepuko bado atachepuka tena,nahisi wanachokitafuta hata wao hawakijui
Umeona eenh?!kwa iyo ishu hapa ni wanaume kutooa ili kusiwe na kitu kinachoitwa mchepuko,utakuwa unajigongea tu!
 
Itawezekana pale wanawake watakapo kataa kutembea na mabwana za watu kwa makusudi
Hapa si unakuta wengine huwa tunawadanganya kuwa hatujaoa kumbe tuna ndoa zetu!Kuna wengine akija kugundua kuwa una mke anaachana na wewe hasa kama ulikuwa unampa hela mbuzi,kama ulikuwa unamuhonga mijihela mingi hata akijua una mke hatoachia ngazi ng'o!!!
 
Ukifanya utafiti wa Kisayansi utagundua ni kwanini!!!
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…