Katoto kazuri what a man needs is peace, mpe amani mumeo, mheshimu saana pengine kuliko wazazi wako, wapende sana ndugu zake, usimchunguzeeeeeeeeee, mfanye kama mfalme. Mbali na hayo, https://jamii.app/JFUserGuide him anytime tena usisubiri akuombe. In short mfanyie umalaya wote unaoujua wewe ili akitoka nje asione jema zaidi yako. Mamaaaaaa, jiweke sopsop mda wote sasa hapa ndo mnafeli, mwanaume wako anarudi home anakukuta na dela aaaaghrrrrrr shwain tena umelichomeka kwenye pant hata haujaoga siku nzima wakati akitoka anakutana na wadada wameupars haswa. Acha tu tuchepuke