Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna K capital letter na kuna "k" small letter. Pia K na C ni kama ndugu vile..... X nayo Ina nasaba na KK zinatofautiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna K capital letter na kuna "k" small letter. Pia K na C ni kama ndugu vile..... X nayo Ina nasaba na KK zinatofautiana
Imefanyaje hela?Ela....
Kwamba mnapenda kwa section? JizzyHii topic tata sana. Ilarejea maneno ya RC wa Kilimanjaro, mwanaume anachokipenda hakipo kwa mwanamke mmoja.
Mwisho wa siku ni maamuzi tu. Inafika wakati unagundua mambo yote kujilisha upepo tu, ubatili mtupu.
Mpaka sasa hamjatoa jibu la maana, ongezeniUmeridhika na majibu Katoto!? Au tuongeze!??
Ndiyo tuyoikosa kwenu wanawakeImefanyaje hela?
Tulia Mama msaidiwe pale mlipoishiaMpaka sasa hamjatoa jibu la maana, ongezeni
Hahaha vipande vipande!!!!. @lleidieMwanaume anapenda vipande vipande ndio sababu yaani hapendi jumla akipita mbuzi sawa farasi panya yaani ndio maumbile yetu yalivyo
Hahahaha nimecheka sanaDada hata sisi tunabeba pumb* maisha yetu yote