Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,

Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,

Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?

Kutulia na mke mmoja hamuwezi?

BADILIKA TAFADHALI.
Wewe ni mchepuko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…