magd lumola
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 218
- 17
kwa wanaoruhusiwa mke zaidi ya mmoja....je wamepewa muda mpaka waanze kutafuta mke mwingine?
N/B...THERE IS NOTHING EITHER GOOD OR BAD ...BUT THINKING MAKE IT SO.....
Nitumie data za Arsenal au Man United?
Birds of the same feathers..hakna cha ajabu hapo..ata mashoga,wabakaji,wanalandana pamoja na ukiwauliza in their world wapo surrounded na their types..nikikwambia pia nimeshawah kuwa na rafiki Wa kiume ..ndugu etc na wote hawachepuki utabisha cz katka Dunia yako au homy na type hizo..ila ngja turudi katka maandiko..yusuphu bwana alikuwa mwanaume!!..tna rijali na m dude!!..HB la nguvu etc etc but hakuchepuka!!..so is today..wapo wanaojiheshmu..badilisha hayo manyoya yako uone kama hautokutana nao wengii utashangaa na jinsi wanavyi enjoy maishaa
Na maisha haya yalivyo magumu..hzo hela za kuchepuka unge peleka familia yako ma vanace ukoo si unge enjoy na kujipatia baraka tuu Kwa kufurahisha na kunawilisha mapenz katka familia yako..wanaume Wa kiafrika bwana mi ndo maana walinishinda ..hawana mahaba at all ..not creative yaan ni shidahh..ata kuiga Kwa wenzao hawawezi ..embu badilikeni jamani mnawatoa hamu wake zenu
Ewaaa sasa unaanza kuelewa. Waafrika tutabakia kuwa waafrika kwenye masuala ya mahusiano. Mchepuko kwa mwanaume wa kiafrika ndio jadi yetu....
Pole sana
Hapana, nadhani nahitaji hongera kwa kudumisha mila.
Wanaume wenzangu, marafiki zangu, workmates zangu, majirani, ndugu zangu, wanywaji wenzangu, waumini wenzangu.... Sijawahi kuona mmoja wao asiyechepuka. Bahati nzuri kwao na mbaya kwa wake zao, ni kuwa wanawake zao wanawaamini ile mbaya. Laiti wangejua....
Umeona eeh, tunatamani tutulie lakini tunachoka, unatamani ladha nyingine
kiukweli yaan mtusamehe hebu tuchukulien kuwa huo ndio ulemavu wetu lakin mwanaume kubaki njia kuu hyo ngumu mchepuko haukwepeki ila semen tupunguze
tatizo ni tamaa zimewajaa baaz ya wanaume, mtu hawez kuridhka na mke wake, ila watambue kuwa watamaliza bucha zote ila nyama ni ileile, zaidi wataambulia maradh tu
Hilo nalitambua manake waume za watu wanaonifata hawana idadi,
Mie naogopa sana kuigia kwenye hicho chama maana kuvumilia usaliti sitoweza.
Mtoto: babaa!
Baba: unasemaje mwanangu Kidole?
Mtoto: mbona nikitoka shule huninunulii soda na chips kama anko Kidevu?
Baba: Mama kidole!
Mama: abee mume wangu!
Baba:Huyu anko kidevu ni nani?
Mama: hata simjui
Mtoto: mama chi yule anakuchumgi kwenye gari alafu anasema a lavi yu tu?
Mama: we mtoto wewe!
Baba: aisee huyo anko kidevu huyoo.
Back to the topic, Michepuko ni kwa watu wote siku hizi.
Huwezi nini wakati ume support huku ukijustfy kwamba uko radhi mumeo achepuke ila akuheshimu na kukupa mahitaji yote muhimu?
Nilivoona ile comment nikawaza ulivojishusha na ku settle for less mtoto wa kike!
tatizo ni tamaa zimewajaa baaz ya wanaume, mtu hawez kuridhka na mke wake, ila watambue kuwa watamaliza bucha zote ila nyama ni ileile, zaidi wataambulia maradh tu