Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

unatumia sample yako na mkeo kugeneralise theory Kwa wana ndoa wote?..wapo wanaume mashga pia,wanaolawiti watoto zao,wabakaji..eeh waje nao basi waseme ni asili ya wanaume na sote tukubaliane hvyo!?yeah ndio wanavyosema ..ni asili..wewe ni mwanaume lakini sio Mungu..ingekuwa hvyo angesema mwanamke usizini..mwanaume ruksa!!..la hasha ..hajasema hvyo..imeandikwa usizini.

Yaishe mama. Yaelekea unatujua wanaume kuliko tunavyojijua.
 
tian tatzo lpo kwnu kina dada kushndwa kuwatosheleza wanaume. Mpo bze mpka kwnye faragha.
 
Usisahau mimi ni mwanaume. Na mambo yetu tunayajua wenyewe. Hata wife wangu anaweza kukuapia hapa duniani hakuna mwanaume mwaminifu kama mimi mme wake mpenzi. Laiti tu angejua..... baaas.

na Mungu anavyojuaga kuwaumbuaa..kuna mzee flani hapa mtaani kwetu wa heshma saana.mzee Wa kanisa ..kumbe michepuko hobby yake..ikamnogesha mpaka akaitelekeza familia na kanisa kashit..hatukujua sababu..juz tumemzika..alikutwa geust house kafa uchi Wa mnyamaa..ndo kujua kumbe michepuko!!aibu sasa na wanawe wakubwaa wote wakajua kumbe huyu ndio baba!!na shuhuda nyingne nyingi saana sna mda kuziandka zote..ndio maana nikakwambia wanaume wajanja Wa mjini wote hawaendekez ujinga kama huo and wapo ..wengi tuu ..wanaojua madhara yakijakutokea ni wanao na mkeo watakaoumia..sio huo mchepuko.
 
Huu udini umeuanza lini Tayta?
...
Hivi ni watu wa dini gani hawachepuki?

kuna wengine wanaruhusiwa kuowa mara nyingi. hivyo anaweza kuwa hachepuki bali anataka kuongeza mke au kutoa talaka na kuowa mwingine
 
Yaishe mama. Yaelekea unatujua wanaume kuliko tunavyojijua.

Usikimbie bwana ..let's talk..unatumia sample yako kugeneralise vitu..that doesn't make sense.. kutuaminisha wote hivyo..wapo wanaume wajanja nasisitza wapo tna wengiii...mkeo tuu kabata bahati mbaya nadhani
 
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,

Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,

Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?

Kutulia na mke mmoja hamuwezi?

BADILIKA TAFADHALI.

ndiomana wanakufa mapemaa na kuacha wajane kibao
 
Wanaume wenzangu, marafiki zangu, workmates zangu, majirani, ndugu zangu, wanywaji wenzangu, waumini wenzangu.... Sijawahi kuona mmoja wao asiyechepuka. Bahati nzuri kwao na mbaya kwa wake zao, ni kuwa wanawake zao wanawaamini ile mbaya. Laiti wangejua....
 
Birds of the same feathers..hakna cha ajabu hapo..ata mashoga,wabakaji,wanalandana pamoja na ukiwauliza in their world wapo surrounded na their types..nikikwambia pia nimeshawah kuwa na rafiki Wa kiume ..ndugu etc na wote hawachepuki utabisha cz katka Dunia yako au homy na type hizo..ila ngja turudi katka maandiko..yusuphu bwana alikuwa mwanaume!!..tna rijali na m dude!!..HB la nguvu etc etc but hakuchepuka!!..so is today..wapo wanaojiheshmu..badilisha hayo manyoya yako uone kama hautokutana nao wengii utashangaa na jinsi wanavyi enjoy maishaa
 
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,

Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,

Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?

Kutulia na mke mmoja hamuwezi?

BADILIKA TAFADHALI.

Kwani hao wanaume wanatongoza miti? Baadhi ya wanawake wanaotongozwa ni wake zake watu! Kubaki njia kuu ni kwa wote si wanaume peke yao
 
Kwani hao wanaume wanatongoza miti? Baadhi ya wanawake wanaotongozwa ni wake zake watu! Kubaki njia kuu ni kwa wote si wanaume peke yao

Mchangiaji nina hakika hujaelewa nilichokiandika,
Hebu rudia tena then utoe mchango wako kwa uzuri
 
ndiomana wanakufa mapemaa na kuacha wajane kibao

Wanakufa na kuwaachia wake zao magonjwa ya ajabu,na kusambaza kwa watu wengine,Mwisho wa siku wanabaki watoto wakiteseka bila malezi ya wazazi
 
Wanakufa na kuwaachia wake zao magonjwa ya ajabu,na kusambaza kwa watu wengine,Mwisho wa siku wanabaki watoto wakiteseka bila malezi ya wazazi

yaan inasikitisha saana aisee ..mwanaume mjanja harhubutu kuitesa familia yake Kwa kulimbuka na michepuko wasio ata na uchungu nae
 
Kwa Hiyo Ndoa ni Nini?

Ndoa ni muungano kati ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke muda wote wa maisha yao. (Sheria ya ndoa – mwaka 1971 kifungu cha 9).

i) Wanaooana wawe wamekubaliana pasipo kulazimishwa na mtu.
ii) Ndoa ni ya mwanamke na mwanamume.
iii) Ni ndoa ya kudumu maishani.
Mpango na utaratibu wa MUNGU kwa wanandoa umewekwa wazi katika kitabu cha Mwanzo. "Bwana MUNGU akasema si vema mtu huyu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufafana naye". Mwanzo 2:18.
 
Back
Top Bottom