Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
unatumia sample yako na mkeo kugeneralise theory Kwa wana ndoa wote?..wapo wanaume mashga pia,wanaolawiti watoto zao,wabakaji..eeh waje nao basi waseme ni asili ya wanaume na sote tukubaliane hvyo!?yeah ndio wanavyosema ..ni asili..wewe ni mwanaume lakini sio Mungu..ingekuwa hvyo angesema mwanamke usizini..mwanaume ruksa!!..la hasha ..hajasema hvyo..imeandikwa usizini.
Yaishe mama. Yaelekea unatujua wanaume kuliko tunavyojijua.