kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
hahahahahahMi sijui sababu, lakini sometimes najikuta nimechepuka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahMi sijui sababu, lakini sometimes najikuta nimechepuka tu.
Ila wanaume hawakinahishi eeWanawake wanaboa na siku zote huwa wanakinaisha
Heloo...!
Kaka zangu naomba niwaulize hivi kwa nn wanaume wengi walio kwenye ndoa, au mahusuano na wenza wanakua hawaridhiki na kua na vimada nje?!
Tatizo ni nini...?!!hamtoshelezwi?tamaa,hulka au ndo asili ya wanaume kua na wanawake wengi?!
Kwa utafiti mdogo tu niliofanya kuanzia baba yangu,wajomba zangu,majirani zangu wenye wenza wao na wafanyakazi wenzangu wengi hao wanaume wana michepuko.
Wengine wake zao wazuri,kisura,kiumbo mpk tabia Ila vinamnyenya mpk anatafut kimada..
Ila ninyi wanaume mkihisi mmegongewa tu ni shida mnoo na hamna ht msamaha..
Ila ninyi mnafanya na mnasamehewa..
Kwa nn hamridhiki lakini na wake zenu...!!????
Mungu anawaona lakini na ss wadada tunawakubali tu hakuna namna usawa ushakaba huu!Japo ni waume za watu!
Au ndo ule msemo MWANAUME BILA NYUMBA NDOGO NI SAWA NA TAIFA LISILO NA UPINZANI..!!
Ila taifa lisilo na upinzani lawezekana tu si km Korea Kaskazini!
Inawezekana kabisa mwanaume kuishi na mkewe bila ya kuwa na kimada/nyumba ndogo. Tatizo letu sisi wanaume ni kuendekeza tamaa. Mwanaume anayeendekeza tamaa za ngono, kila anapomuona mwanamke ambaye yeye anahisi ni mzuri, kitu cha kwanza kinachoingia kwenye akili zake ni "sex". Mbaya zaidi, kutokana na kumung'unyika kwa maadili siku hizi ambapo ninyi wadada mnatembea nusu uchi ndio kabisa mmefanya wanaume wenye tamaa kuharibikiwa zaidi. Mwili wa mwanaume yoyote yule rijali huwaka tamaa sana hasa pale anapoona sehemu za mwili za mwanamke ambazo hazikupaswa kuonekana, isipokuwa tu anapokuwa chumbani. Wanawake mnachangia kwa kiasi kikubwa sana kuwafanya wanaume washindwe kuzitawala tamaa zao. Na katika hili, mna kesi ya kujibu siku ile atakapokuja Mwana wa MUNGU, YESU KRISTO, sababu mnawatia wanaume majaribuni kwa aina ya mavazi mnayovaa.Heloo...!
Kaka zangu naomba niwaulize hivi kwa nn wanaume wengi walio kwenye ndoa, au mahusuano na wenza wanakua hawaridhiki na kua na vimada nje?!
Tatizo ni nini...?!!hamtoshelezwi?tamaa,hulka au ndo asili ya wanaume kua na wanawake wengi?!
Kwa utafiti mdogo tu niliofanya kuanzia baba yangu,wajomba zangu,majirani zangu wenye wenza wao na wafanyakazi wenzangu wengi hao wanaume wana michepuko.
Wengine wake zao wazuri,kisura,kiumbo mpk tabia Ila vinamnyenya mpk anatafut kimada..
Ila ninyi wanaume mkihisi mmegongewa tu ni shida mnoo na hamna ht msamaha..
Ila ninyi mnafanya na mnasamehewa..
Kwa nn hamridhiki lakini na wake zenu...!!????
Mungu anawaona lakini na ss wadada tunawakubali tu hakuna namna usawa ushakaba huu!Japo ni waume za watu!
Au ndo ule msemo MWANAUME BILA NYUMBA NDOGO NI SAWA NA TAIFA LISILO NA UPINZANI..!!
Ila taifa lisilo na upinzani lawezekana tu si km Korea Kaskazini!
[emoji23] [emoji23] shwaiiinMi sijui sababu, lakini sometimes najikuta nimechepuka tu.
Ht ss mihogo yenu ina radha tofaut [emoji35]Msema kweli mpenzi wa Mungu, me demu mmoja tu huyo huyo hanitoshi. Hii dunia imejaaliwa sana watoto wazuri halafu kila mmoja na utamu wake [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna lolote mnajiendekeza tuTicha unatubip sio,mwanaume ukiwa n nguvu za kiume yani tough wallet lazma wadada wakusumbue ili uwapunguzie ukata,sasa tusipokua n michepuko mnasema tumerogwa n wake zetu
lione vile looohh!nyie nyie[emoji3]Mi sijui sababu, lakini sometimes najikuta nimechepuka tu.
mnapenda kweli kutetewa uchepukaji wenuHakuna ligi isiyo na mechi za kirafiki
hahaha nakuapia kapisa ni kweli mamaangu!
wanatetea hao balaa...Ni swala la mtu husika ME au KE kujiendekeza, Ki ukweli inawezekana ukatulia na wako mmoja umpendaye.
ngoja waje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli Je!Na akisema amwache mkewe amwoe mchepuko bado atachepuka tena,nahisi wanachokitafuta hata wao hawakijui
sawa kaka!Itawezekana pale wanawake watakapo kataa kutembea na mabwana za watu kwa makusudi
Jifunze tabia za viumbe vyote wa kiume!