Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

EITHER WAY MAN...RESPECT....and yes the World is full of shits....there is a say that says..." sometimes things happen but some things should never happen"...this statement huwa inanigude sana kwene maswala ya relationship..like nkijua tu manz kasaliti...THERE IS NO GOING BACK....
Me liky, hollah big bro
 
Wanaume ndivyo walivyo, husikae unaumia roho kujiona umekosea sehemu. .
Do your part baaasi, channel your energy kwa watoto wako na shughuli zako za maendeleo
 
Kama beberu alivyo na wanaume wapo hivyo japo hufika mahali hutuliza kibolo chao.... ni wakupewa muda na kusisitiziwa kuna maradhi huko nje na hakikisha unaishi maisha mazuri kupitia yeye usiache kuomba pesa .. yaani usisuse yani wee piga vyako mpaka akae ajiulize hivi mchepuko ni wife kwa sababu demand haziishi .. pendeza kwa pesa zake .... ila ukiweka gubu tu oooh ohoooo atachepuka mapaka kaburini
Weeeeeeee unafundsha watu mchezo mchafu
 
very smart.
 
Usipoteze umma.
We si wa mchezo mchezo
 
Kuoa au kuolewa sio mwisho wa kufall in love! Tuvimiliane tu cha msingi kuwa makini na magonjwa!YOLO
Nimekuelewa sana charty "kuoa au kuolewa sio mwisho wa kufall in love"

Kuna movie moja inaitwa kabhi alvada inasimulia hiki unachokisema

Of course hii movie niki iweka kwenye maisha halisi basi yanayo tokea hua na take easily

People fall in love while they are married
 
Habari wakuu

Kuna jambo linanitatiza sana, sjui ni ushamba wangu au vipi. Hivi mwanaume hawezi kuwa kwenye mahusiano au ndoa bila ya kuwa na mchepuko? Unakuta jamaa ana mke mzuri tu ana tabia njema, sura, rangi, chura mash Allah lakini bado anachepuka na sio kwamba hampendi MKE wake LA! Anampenda tena sana tuuu... Sasa niwaulize nyie wanaume kwanini mwachepuka ati?
Mke mmoja udumaza akili.
 
Back
Top Bottom