Kwanini wanaume ni waoga kiasi hiki

Kwanini wanaume ni waoga kiasi hiki

Je unaamini kuwa hao wanawake wakipata pesa they real change au ni mwanaume ndo anachange; inferiority?

Mimi nina dada yangu ana pesa sana; mume wake ndio kwanza muda wote anamfagilia wife wake jinsi anavyowin maisha. Inategemea na confidence ya mume; wale wanaochukulia winning za wake zao positively wana enjoy tu.

Tatizo la mwanamke mwenye pesa yake hawezi vumilia nonsense; usitegemee mwanamke mwenye pesa atakaa ajilize lize kwa manyanyaso ya mmewe kama kuwa na small house. Sasa kwa kuwa wanaume wengi ni wanyanyasaji ni obvious mwanamke mwenye pesa hawafai.

Money is equivalent to power... Waweza kataa ndo ukweli wenyewe huo... iwe katika mahusiano ama maisha ya kawaida with Money waweza geuzwa hata Mungu... Mfano rahisi tu; jiulize ni kwanini kua kuna Maraisi nyuma ya Raisi wetu?? MONEY!

Hivo basi kweli kabisa inapendeza katika mahusiano kama Mwanaume yupo juu kipesa kuliko Mwanamke ili kuepusha vimatatizo vya hapa na pale... Inapotekea mwanamke anapesa kuliko mwanaume - yahitaji mwanamke mwenye busara saana for hata akupende vipi in the long run aweza geuka na kujenga kakiburi fulani ambayo yaweza mfanya mwanaume ajisikie emasculated..... Na if he is in that sorry state, then it means kisha kua weak... Na IMO a man should be stronger than a woman in a relationship. Sisemi amtawale but wanaoelewa you know what i mean....
 
Kinachofanya mme na mke wakae pamoja, ni ile hali ya kukubali kwa kila mmoja kuwa anamhitaji mwenzie! Yaani mna-complement each other. Tatizo wanawake wengi wanaamini kuwa wanaishi na wanaume ili wanaume wawalee na kuwatunza. Huo mtazamo ndo unaoua kiasi kwamba mwanamke akishapata zaidi ya mme wake anaona hamhitaji tena na hivyo anaanza madharau, ndo maana nimeita ulimbukeni tu!

Mwanamke anayeamini kuwa kuishi na mme ni suala la kukamilishana; yaani mme anamhitaji mke na mke anamhitaji mme; hata awe na nini kumzidi mme wake ataishi naye vizuri. Hata wakigombana ugomvi wao watautatua tu kama wengine wafanyavyo.

Tatizo la mwanamke ambaye yuko juu ya mme kielimu, kimapato au kimadaraka n.k. akiona ametofautiana na mme wake basi anaamini kuwa mme wake anakuwa na msimamo alio nao sababu yeye (mke) yuko juu. Yaani ni kuwa mke akiwa juu, atahusisha kila kitu na ile kuwa yake juu, wakati si hivyo! Hayo yangetokea tu hata kama angekuwa chini!

Kinachotakiwa na mental strength na maturity kwa wahusika; mme na mke. Kazi iliyopo kwa mke ni kumtafuta mme wa hivyo. Yaani mwenye mental stregth ya kuona kuwa mke wake akichukuliwa nje si kwa sababu ya kiburi cha usomi, bali angeweza kuchukuliwa hata kama asingekuwa ana elimu au cheo kikubwa hivyo. Wanaume wa hivyo nasema kwa uwazi kabisa wapo, tena sana tu.
 
Nakubaliana na wewe 100%. Family nyingi ambazo zina prosper ni zile ambazo mama ana pesa; wamama wenye pesa (si vijisenti) wana invest kwa familia hasa watoto. Imagine ungekuwa na mama milionea mambo yako yangekuwaje? Tofauti na wababa the more they get the more they spend outside the family.

uwoga wao wenyew lakin weng wa wanawake wenye pesa wala cheo si wanyanyasaj ukimtimizia swala la 6x6 hatok nje hata kam ww ni kapuku utakula pesa yake tofaut na wanaume wakiwa nazo wanyanyasaj anafikiria akatongoze dem gan tena yaan hata umpe vp yy anawaza ngono tuuu ili et wamkome kumbe anajimaliza!
 
WANAUME WENGI NI WAOGA MBELE YA WANAWAKE WALIOSOMA AU WENYE PESA.

UTAKUTA SABABU NYINGI ZINALETWA ETI HOO WALIOSOMA NA WENYE PESA HAWAPENDEKI ETC LAKINI UKIFATILIA CHANZO NI WOGA.

NAFIKIRI BABU WA LOLIONDO ATOE DAWA YA KUTIBU HAKA KAUGONJWA

WEEKEND NJEMA
icon13.png

Wewe tu ndio mwenye hayo mawazo lakini wengine tunang'oa kotekote.
 
Je unaamini kuwa hao wanawake wakipata pesa they real change au ni mwanaume ndo anachange; inferiority?

Mimi nina dada yangu ana pesa sana; mume wake ndio kwanza muda wote anamfagilia wife wake jinsi anavyowin maisha. Inategemea na confidence ya mume; wale wanaochukulia winning za wake zao positively wana enjoy tu.

Tatizo la mwanamke mwenye pesa yake hawezi vumilia nonsense; usitegemee mwanamke mwenye pesa atakaa ajilize lize kwa manyanyaso ya mmewe kama kuwa na small house. Sasa kwa kuwa wanaume wengi ni wanyanyasaji ni obvious mwanamke mwenye pesa hawafai.

Hili limeshajadiliwa sana humu eti "wanaume kuchukua small house si unyanyasaji"!! Mwanaume kutoka nje ya ndoa yake haisababishwi na yeye kumuona eti sababu mke wake hana kitu kwa hiyo amnyanyase no way!! Sababu zake ni nyingine kabisa.

Mahusiano yoyote tumeshajadili humu ndani kuwa yanahitaji kuvumiliana. Umekiri mwanamke aliyesoma hana uvumilivu, si mnyenyekevu kwa mwenzie (in short ni arrogant) na haoni kuwa iko haja ya kuishi na mwenzie. Hapo ndo tatizo linapoanzia. Wanawake wote na wanaume walio katika mahusiano; hata wale wenye fedha na elimu na vyeo; kuna mahali au kuna siku walillazimika kuwasamehe au kuwavumilia wenzao.

Tatizo mwanamke kumvumilia mme kwa matatio mnaona kuwa anafanya hivyo sababu hana pa kwenda!! Vipi mbona kuna wanaume wengi tu wanavumilia matatizo ya wake zao hata kama hao wake ni mama wa nyumbani?

Tukubali tu kuwa wanawake wengi (nakiri si wote) waliokwenda shule wana matatizo na mojawapo ya tatizo lao kubwa ni huko kushindwa kuvumilia au ku-compromise pale kunapokuwa na hali ya kutoelewana. Hii ndo inferiority complex.
 
Kutawaliwa nikuonako Mimi labda
1. Kutokubali kuwa mwanamke naye ana mawazo ambayo yanafaa kusikilizwa kwenye masuala ya familia

2. Kuelewa na kumruhusu mwanamke kufanya maamuzi linapokuja suala la pesa alizonazo
(akiamua kumnunulia mdogo wake gari, nyumba,..)

3. Kumpa uhuru Wa kutosha wa kufanya ayapendayo japo kama Mume yeye hayo hayapendi

Na kadhalika :]
ok....angalau kwa hayo matatu pengine nimeponyoka kuitwa 'mtawala' badala ya mume/kiongozi wa familia! Ila hiyo namba tatu inahitaji umakini mkubwa....uhuru ni shurti uwe na mipaka au siyo?
 
Gaijin,

Namba tatu hapo juu inahusika. Uhuru wa kufanya uyapendayo hata kama mmeo hayataki ni tatizo. Ndo maana tunasema kuishi pamoja ni ku-sacrifice baadhi ya mambo kwa ajili ya mahusiano. Sasa mimi nikupe uhuru wa kufanya mambo ambayo mie siyapendi, je wewe umempa mme uhuru wa kufanya yale anayotaka hata kama wewe huyapendi? .... Angalia mbele na nyuma vile vile.

Katika mahusiano ni kweli kuna ambayo wote mtakubaliana, lakini yapo ambayo wote hamtakubaliana. Katika yale ambayo hamkubaliani, inahitaji busara ya hali ya juu ili kuweza kuendelea nayo; vinginevyo uvumilivu na sacrifice vinatakiwa vitawale. Mfano uwe tayari kuyaacha yale ambayo yanamchefua mwenzio (uwe mke au mme).

Unapopewa uhuru usio na mipaka hapo ni recipe for disaster katika mahusiano!
 
kweli wewe kipima pembe lol eti wakisoma malimbikeni tena tutake radhi
ni kukosa kujiamini kwenu tu
hamna lolote ..inferiority complex zenu zinawasumbua

inferiority Complex ni ile hali ya kuona saa zote unadharauliwa, huheshimiwi, unanyanyaswa kwa sababu ya hali yako, n.k. Ukiangalia vizuri wenye tabia hizo wengi ni wanawake! Inferiority complex ndo inayowafanya wanawake waliosoma washindwe kuwa na mahusiano ya kudumu na matokeo yake wanabaki kuwa nyumba ndogo!
 
Kutawaliwa nikuonako Mimi labda
1. Kutokubali kuwa mwanamke naye ana mawazo ambayo yanafaa kusikilizwa kwenye masuala ya familia

2. Kuelewa na kumruhusu mwanamke kufanya maamuzi linapokuja suala la pesa alizonazo
(akiamua kumnunulia mdogo wake gari, nyumba,..)

3. Kumpa uhuru Wa kutosha wa kufanya ayapendayo japo kama Mume yeye hayo hayapendi

Na kadhalika :]

Gaijin kabla sijaipasisha hii; hebu reverse roles..............ione inavyokuwa chungu kwa upande mwingine!
 
WANAUME WENGI NI WAOGA MBELE YA WANAWAKE WALIOSOMA AU WENYE PESA.

UTAKUTA SABABU NYINGI ZINALETWA ETI HOO WALIOSOMA NA WENYE PESA HAWAPENDEKI ETC LAKINI UKIFATILIA CHANZO NI WOGA.

NAFIKIRI BABU WA LOLIONDO ATOE DAWA YA KUTIBU HAKA KAUGONJWA

WEEKEND NJEMA
icon13.png
mi mwenyewe ni mwoga paka huwa najikubali sana...hivi jamani napo kuwa mwoga ni kaugonjwa ehh...
 
Uwoga napo smtms kana raha zake kanakuepusha na vijigharama visivyo na maana...ufisi daima..
 
ok....angalau kwa hayo matatu pengine nimeponyoka kuitwa 'mtawala' badala ya mume/kiongozi wa familia! Ila hiyo namba tatu inahitaji umakini mkubwa....uhuru ni shurti uwe na mipaka au siyo?

SMU

Kwanza hongera kwa kuwa mume na sio mtawala :]

Naona hapo namba 3 wengi nimewachanganya kwa hiyo nitafafanua kidogo

Kwa mfano mke ana passion ya kusafiri na kuona dunia wakati mume hana na anapenda kuwa kwenye comfort zone yake tu all the time

Hapa kunaweza kumfanya mwanamke kupoteza ile furaha yake ya maisha ambayo kwayo ilikuvutia pengine.

Kwa hiyo nadhani ni jinsi ya kutafuta ku accommodate staarehe zake ambazo wewe huzifagilii as long as si staarehe zinazokiuka maadili au dini mnayofuata.

Nb: naandika haya kwa vile kuna wanaume hawaamini hasa kuwa mke anaweza kutaka kufanya kitu cha kumfurahisha yeye binafsi na sio mume. ( wanaamini wake wapo kuwastaarehesha wao tu)
 
Gaijin kabla sijaipasisha hii; hebu reverse roles..............ione inavyokuwa chungu kwa upande mwingine!

Mwanamme kutawaliwa na mwanamke nayo haikubaliki.

Kinachotakiwa ni balance of power. Hata kama mmoja ana pesa nyingi na elimu kuliko mwenziwe, hana haki wa kumtawala mwenziwe awe mwanamke au mwanamme.
 
Hawajiamini.
Hawajitambui
Hawataki kukosolewa.

Baadhi wanapenda kunyanyasa, akiwa na mwanamke aliyesoma mwenye kipato anahisi atakua chini, maana hawezi mnyanyasa,au kumtishia arudi kwao.

All in all chanzo ni kutojiamini.
Baadhi yao haya yana wahusu kabisa, tena wengine wana notion mbaya sana hupeleka mambo haya mpaka makazini..........
 
inferiority Complex ni ile hali ya kuona saa zote unadharauliwa, huheshimiwi, unanyanyaswa kwa sababu ya hali yako, n.k. Ukiangalia vizuri wenye tabia hizo wengi ni wanawake! Inferiority complex ndo inayowafanya wanawake waliosoma washindwe kuwa na mahusiano ya kudumu na matokeo yake wanabaki kuwa nyumba ndogo!

mkuu sikubaliani na wewe hata kidogo wanaume wakioa wanawake wenye pesa hiyo hali niliyo underline hapo ndo huwatokea ..kwa mwanamke its normal kupewa hela na kubaki home its nature (we feel great tukipewa hela )
 
Mwanaume ndiye kichwa cha familia, so hawez kuwa na saut wakat anaish kama anatunzwa, kwahyo sio woga 2 ila pia hata kukwepwa kupelekeshwa na kupewa kauli za matusi na kuudhi, ni vzur kwa mwanaume kuwa juu zaid mkewe kwa kipapo warau heshima iwepo.
 
hahaha mwanamke ni mwanamke tuuu! pesa na elimu hazinaga nafasi kwenye mapenzi ila huwa zinaletaga tu vitabia vidogovidogo havina effect kwenye mapenzi.Acha woga thubutu ,utaweza na utafanikiwa .all the best
 
Back
Top Bottom