nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Je unaamini kuwa hao wanawake wakipata pesa they real change au ni mwanaume ndo anachange; inferiority?
Mimi nina dada yangu ana pesa sana; mume wake ndio kwanza muda wote anamfagilia wife wake jinsi anavyowin maisha. Inategemea na confidence ya mume; wale wanaochukulia winning za wake zao positively wana enjoy tu.
Tatizo la mwanamke mwenye pesa yake hawezi vumilia nonsense; usitegemee mwanamke mwenye pesa atakaa ajilize lize kwa manyanyaso ya mmewe kama kuwa na small house. Sasa kwa kuwa wanaume wengi ni wanyanyasaji ni obvious mwanamke mwenye pesa hawafai.

Money is equivalent to power... Waweza kataa ndo ukweli wenyewe huo... iwe katika mahusiano ama maisha ya kawaida with Money waweza geuzwa hata Mungu... Mfano rahisi tu; jiulize ni kwanini kua kuna Maraisi nyuma ya Raisi wetu?? MONEY!
Hivo basi kweli kabisa inapendeza katika mahusiano kama Mwanaume yupo juu kipesa kuliko Mwanamke ili kuepusha vimatatizo vya hapa na pale... Inapotekea mwanamke anapesa kuliko mwanaume - yahitaji mwanamke mwenye busara saana for hata akupende vipi in the long run aweza geuka na kujenga kakiburi fulani ambayo yaweza mfanya mwanaume ajisikie emasculated..... Na if he is in that sorry state, then it means kisha kua weak... Na IMO a man should be stronger than a woman in a relationship. Sisemi amtawale but wanaoelewa you know what i mean....