Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya

Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya. Yaani kwakweli natamani nisinyoe, maana unakuwa unaonekana kama nini vile.
Inakuwa Kama unapuliza Moto aisee
 
Mimi sinyoi kwa fundi ndevu au sharubu.

Nina mashine yangu nymbani kama kupunguza ndevu napunguza mwenyewe au sharubu napunguza mwenyewe hawa mafundi ni ovyo kabisaa..

Ninachonyoa saluni ni nywele tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…