Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya

Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya

Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya. Yaani kwakweli natamani nisinyoe, maana unakuwa unaonekana kama nini vile.
Inakuwa Kama unapuliza Moto aisee
 
Watu ni wehu kweli, mfano mm juz kat nilienda kunyoa boya kaniharibu kabisa mstachi wangu! Yaan jitu unalielekeza usiweke nyembamba Sana basi jitu linajifanya linanyoa mpka linakubaribu matokeo yake inakubidi unyoe tu zote au kipara kabisa! Vinyoz wetu wajinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sinyoi kwa fundi ndevu au sharubu.

Nina mashine yangu nymbani kama kupunguza ndevu napunguza mwenyewe au sharubu napunguza mwenyewe hawa mafundi ni ovyo kabisaa..

Ninachonyoa saluni ni nywele tuuuu
 
Back
Top Bottom