Kwanini wanaume wa Dar mnakuwa hivi?

Kwanini wanaume wa Dar mnakuwa hivi?

MDAU: Nimekuja hapa Dar kwa rafiki yangu wiki ya pili sasa ananiletea chipsi usiku, nikimuuliza kwanini anasema eti ndio chakula cha haraka, namwambia niwe napika anasema inapoteza muda.

Kwanini mnakuwa hivi?
View attachment 1374866

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahani Kama hz huwa nikitaka kushiba kabisa labda Nile kuanzia 6 hv ndio nitajisikia kwa mbali

kilicho akilini kitumie
 
Kiepe kinavutia [emoji39][emoji39]
Wewee tena,
20200303_121038.jpeg
20200303_121022.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula sana sio afya,sijui eti ugali mkubwa!
Mwili utachukua only required amount of nutrients,it's all about food suppliment,balanced diet ndio mpango mzima,mwili unatakiwa matunzo coz ndio jumba/umbo unalolitumia kuishi humo.
 
Sasa ndugu zetu wanaoamkia kiporo cha ugali asubuhi unafikiri watakuelewa hapa??
 
Back
Top Bottom