rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Mzee unatetea kambi kwa nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si tatizo kula ugali, nakula sana tu. ila napinga MAPOPOMA, wanaodhani urijali wa mwanaume ni kula ugali, huo ni upunguani aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app