Kwanini wanaume wa Dar mnakuwa hivi?

Kwanini wanaume wa Dar mnakuwa hivi?

Mtoa uzia umeandaa nguo za kutosha za kufua..maana mapovu umeanza kuyapata.
 
Napata mashaka na tone ya uandishi huu

Hahah pole sana kiongozi, kwa taarifa tu nimezaliwa muhimbili hapo, na sasa natimkia ughaibuni, inshaalah hata nikifa huku mwili wangu utarudi kuhifadhiwa kwenye jiji la mzizima washamba mnalolikurupukia.
 
Duh ila wanaume wa dar sio siri mnahitaji maombi sio bure, wewe fikiria muwa tu wenyewe mnamenyewa ndo muweze kula, hujakaa vizuri mahindi ya kuchoma mpaka muweke ndimu na pili pili, mara hadi nazi na mihogo pia mpaka mkatiwe katiwe, sasa week iliyopita ndo wanenivunja mbavu maana nimepita hapo nimekuta sasa hivi habari ya mjini wanashindana kura mbegu za maboga,,,,, dah!!!!
Kuna jamaa nilimsikia akijisifia kuwa amememaliza pakiti moja... Hahaha

God save us
 
Back
Top Bottom