Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hivi bado kuna watu wanakula ugali mkubw usiku?Sasa huo ushamba wenu si kila mtu anauweza we umeona wapi mtu ale "ugali mkubwa" usiku kwani unaenda kupigana??
Exactly, that's the point.Wanasahau kula vyakula vilivyo na virutubisho ,kula mlo kamili wanadhani kula ugali ni afya
Wapo, si umemuona mmoja hapo juu anajisifu kabisa 😂😂.
Kula ugali kijanaAkili finyu kuzani uanaume ni kula ugali tena donna, hao ndio wanatembea vifua mbele kabisa😂😂😂
Kula ugali kijana
Sahani Kama hz huwa nikitaka kushiba kabisa labda Nile kuanzia 6 hv ndio nitajisikia kwa mbaliMDAU: Nimekuja hapa Dar kwa rafiki yangu wiki ya pili sasa ananiletea chipsi usiku, nikimuuliza kwanini anasema eti ndio chakula cha haraka, namwambia niwe napika anasema inapoteza muda.
Kwanini mnakuwa hivi?
View attachment 1374866
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa nakula dona mixa muhogo na ngano yaani mtamu balaa hasa mboga iwe samaki mkavu au nyama ya mbuzii...usiku nikilala naota ndoto za mahaba tu!umenipata.
Khaa kiepe kina viazi viwili kinavutiajeKiepe kinavutia [emoji39][emoji39]
Sasa ndugu zetu wanaoamkia kiporo cha ugali asubuhi unafikiri watakuelewa hapa??Kula sana sio afya,sijui eti ugali mkubwa!
Mwili utachukua only required amount of nutrients,it's all about food suppliment,balanced diet ndio mpango mzima,mwili unatakiwa matunzo coz ndio jumba/umbo unalolitumia kuishi humo.
Daaaah!!
Sasa ndugu zetu wanaoamkia kiporo cha ugali asubuhi unafikiri watakuelewa hapa??
We unakula sana eeh?! 🤣🤣 kwamm kinanitosha 😋😋 pembeni na Mirinda ya bariiidi
[emoji23][emoji23][emoji23] daadekiKula michips na kula miwali miharage hakuna utofauti...Ni heri ule chips kuliko miwali mihaage.
Chips yai ni kama mboga huku mikoani!