Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
- Thread starter
-
- #21
Sasa sio kwa Kila Jambo ...........Ewaa mnatakiwa hivi ulivyorespond hapa
Nakubali kwa kweli watu wafupi sio kwamba wengi wanapenda kuwa ivyo sema mapambano ya kisaikolojia ndani yao1.Ubishi
2.kulalamika
3.stereotype
Naona naanza kufanukiwa kabisa ..sikuizi ufupi haunipi shida
Jina ni vifupisho tu mkuu....from RICHARD MWAKYOMA to RICH MKNi kweli mnajiinua maana hata jina lenyewe naona.
Jalibu kubadili mtazamo tu ......niwatu poaKikubwa nnachokfahamu kuhusu watu wafupi huwa ni wabishi na watata sana
Hayo ndio mawazo ya watu wengi ukianza wewe kuwachukulia vizuri nikitu chemaWatu wafupi hata akili zao huwa ni fupi .
Binadamu wote ni sawa heshima ni ubinadamu ila baadhi ya watu wafupi wanajizarau wenyewe ndio lengo tuwaelimisheKwanza bila ya mfupi, heshima ya mrefu ingetokea wapi? Ebu jitambueni basi aaah...[emoji56]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakubali nakubaliDawa ya ufupi ni kuwa na pesa tu.
Hahaha hawa jamaa kila nnapoenda nakutana na watu wa sampuli hiyo hiyoJalibu kubadili mtazamo tu ......niwatu poa
what if na wewe ungekua mfupi unahisi ungekua kama waoIla watu wafupi ni wabishi Sana, yaani ubishi na kujishuku mwanzo mwisho
Hahahaha ndo maana kweny majukwaa kule unakuwa m'bishi kumbe ni anduje[emoji23][emoji23][emoji23] Sema ata Salah mbna ni mfupi tu[emoji3][emoji3]Dah uandunje huu lkn hata ss hatukupanga tuwe hivi wajemeni
Mkuu PhD ya uchochezi umetunukiwa chuo ganiIla wana advantage 1,ukigombana nae na mawe yakiwa karibu jua utakimbia shughuli maana kwa ufupi wake yuko karibu na ardhi ni mwendo wa kuinama na kurusha mawe tu.
Disadvantage waliyonayo ni kwamba,mfuko wa mavi uko karibu na moyo so kutokana na joto kutoka kwny mfuko huo kila saa moyo unakua under high temperature na kusababisha wawe na hasira kila saa.