Kwanini wanaume wafupi wanadharauliwa?

Kwanini wanaume wafupi wanadharauliwa?

Kikubwa nnachokfahamu kuhusu watu wafupi huwa ni wabishi na watata sana
 
Dah uandunje huu lkn hata ss hatukupanga tuwe hivi wajemeni
Hahahaha ndo maana kweny majukwaa kule unakuwa m'bishi kumbe ni anduje[emoji23][emoji23][emoji23] Sema ata Salah mbna ni mfupi tu[emoji3][emoji3]
 
Ila wana advantage 1,ukigombana nae na mawe yakiwa karibu jua utakimbia shughuli maana kwa ufupi wake yuko karibu na ardhi ni mwendo wa kuinama na kurusha mawe tu.

Disadvantage waliyonayo ni kwamba,mfuko wa mavi uko karibu na moyo so kutokana na joto kutoka kwny mfuko huo kila saa moyo unakua under high temperature na kusababisha wawe na hasira kila saa.
 
Mkuu PhD ya uchochezi umetunukiwa chuo gani
 
Mtoa mada jikubali tu,

Angalia watu kama Tyson, Messi,

Wapo wengi tu wanajikubali,,

Ila ndo ivo uwezi kuwa mlizi wa rais kama ni mfupi
 
Back
Top Bottom