Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
- Thread starter
-
- #61
Kwakweli kitheolojia wanasema hajikwezae atashushwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo si lao peke yao,,, ni la jamii nzima.
Ilianza tangu enzi hizo,,,, kakake Daudi(Eliabu) alikuwa ni mrefu kuliko Daudi, basi watu wote wakasema huyu anafaa kuwa mfalme wa Israel.
Jamii imekuwa ikitukuza vitu virefu ,,, hata wanyama,,,, Twiga anaheshimika sana(sihitaji kuweka reference)
Kwa maoni yangu, tuliache kama lilivyo,,, pengine hii ni NATURE.
Unavyohisi mkuu kutojiamini kwao ni kwa asili au just wana adapt tuSababu kubwa ni wao.wenyewe kutojiamini
Ila unaweza kuwa mfupi ukawa Rais halafu ukalindwa na huyo tolu..! So tupeni heshima yetu short people..[emoji851]Mtoa mada jikubali tu,
Angalia watu kama Tyson, Messi,
Wapo wengi tu wanajikubali,,
Ila ndo ivo uwezi kuwa mlizi wa rais kama ni mfupi
Kina Konde boy, Rayvan,mr blue, mavoko, mrioo, stamina, n.k heshima kwenuIla unaweza kuwa mfupi ukawa Rais halafu ukalindwa na huyo tolu..! So tupeni heshima yetu short people..[emoji851]
Dah! Kuna jamaa mmoja mfupi mtaani kwetu! Kila point uliyoandika naona zinamfaa kabisa. Na kwakuwa nawe pia ni mfupi, hatuna nyongeza
Mna gubu kuliko neno lenyewe gubu
Bila pichaNaona naanza kufanukiwa kabisa ..sikuizi ufupi haunipi shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa ya ufupi ni kuwa na pesa tu.
Ukiona hivyo na dharau mtaa huu zimefufuka piaUzi umefufuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Case closedDawa ya ufupi ni kuwa na pesa tu.