Kwanini wanaume wafupi wanadharauliwa?

Kwanini wanaume wafupi wanadharauliwa?

Tatizo si lao peke yao,,, ni la jamii nzima.
Ilianza tangu enzi hizo,,,, kakake Daudi(Eliabu) alikuwa ni mrefu kuliko Daudi, basi watu wote wakasema huyu anafaa kuwa mfalme wa Israel.



Jamii imekuwa ikitukuza vitu virefu ,,, hata wanyama,,,, Twiga anaheshimika sana(sihitaji kuweka reference)


Kwa maoni yangu, tuliache kama lilivyo,,, pengine hii ni NATURE.
Kwakweli kitheolojia wanasema hajikwezae atashushwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti wanathemaa thithi Ni wafupi...kwani huko kwenyu hakuna wafupi,harikaa mbwanyeniii
 
Back
Top Bottom