Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Kifupi ukisha gundua na kuona mmeo hakushirikishi baadhi ya miladi yake yaani kaona Bora hata akifa ipotee kuliko kukuambia wewe ujijue kabisa wewe unamatatizo makubwa Sana .

Ameona kabisa kichwa chako ni bure mzigo tu kwa miguu ila hawezi kukuambia kwa maneno atakuambia kwa vitendo.

Wanawake wengi wenu sio goal oriented mmetanguliza tamaa na ubinafsi mbele ..ndio maana wengi wenu mpo kwenye ndoa kwa ajiri ya kutukamikishia mpango wetu wa kuzaa na mtusaidie kulea watoto Basi.

Pia mwanaume halisi hawezi kuonesha uhalisua wake wote kwa mwanamke ,mwanaume halisi inatakiwa kuto tabirika na kwa mkeo yaani ashindwe kujua wakati gani una pesa na wakati gani hauna na kwa mwezi unapata shi ngapi .

Mwanamke pindi ajuapo uwezo wako ndio kipindi atakacho Anza kukupimanisha uwezo wako na michepuko yake na vi ex vyake na endapo ukazidiwa na hao anao kupimanisha nao Basi dharau zitaanza na kukuona hauna maana. Ndio maana unashauliwa usitabirike kwa mkeo unaweza kuwa na hela nyingi tu ila ukaamua kumkazia kuwa hauna hata Mia na una mlisha dagaa wiki nzima alafu unamlegezea ...hii mbinu itakusaidia hata Kama Kuna siku hauna ukweli.

Pia wanawake wengi wenu sio wavumilivu ...
 
The great point
 
Nimejifunza mengi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…