Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

Tunaficha mambo mengi sababu nyie sio wavumilivu kabisa! Kidume unajipinda unaweka akiba inafika hata 10M kwa ajiri ya long run projects,kama kujenga au kuanzisha biashara, mwanamke wako akishajua tu,anaanza kupanga mipango yake,mara hii tv,tuibadilishe,mara sijui hizi sofa zimepitwa na wakati,mara sijui tufanye sherehe ya miaka 2 ya ndoa yetu!

Pia wanawake hua na viherehere,anaweza chukua kile kikaratasi cha Salio,anaenda mringishia rafiki yake huko,yeye hajui kama anakutafutia kifo,maana wanaweza kuipata wazee wa ngwasuma,wakatimba usiku wa manane kuomba salio,bahati mbaya usiwe nalo home liwe bank,wanakuuwa!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha
 
Wanaume wasiojielewa ndio huficha mambo Matokeo Yao hufa ghafla na kuacha familia ikiteseka, Sasa unaishije na mtu usiye mwamini na hamshirikishani mambo yenu, wanaume oeni wanawake mnaoendana nao vision
Wanawake wengi,
upumbavu mwingi huwapata wakiwa ndoani.
(Ushawishi wa Mashoga,ndugu n.k)

Kuachana na mwanamke uliyezaa naye na kutengeneza familia nae,
Ni hasara zaidi kwako,kwake na kwa familia yako.

Kwaiyo Ni Bora TU,
Kuishi nae kwa Akili namna iyo
 
Dah kazi kweli kweli mie sivumilii upumbavu na shida za mtu asiye jielewa na asiye supportive maana kuendelea kubaki naye ni sawa kuwa na sindano mwilini inakuchoma tu, Sasa partner wako sio supportive anawaza ujinga na vitu ambavyo hafikirii kesho ya familia huyo wa nini sasa, dah Mimi siogopi kuanza
 
Hii sio kweli, hakuna mwanaume anayependa familia iteseke baada ya yeye kufariki! Tutafanya kwa siri lakini kila rekodi ipo, ndio maana wengine hushangaa sana kukuta makabrasha ya nyaraka makabatini yana vitu visihamishika na namna vilivyolindwa na kupangwa kisheria.
Wengi hufa mke na watoto huteseka ka mnafichana vitu vyenu Bora muachane Kuna mtu alikuwa na Mali hajashirikisha mtu ndugu, wala watoto na hivo vitu vitapotea bure tena maeneo ya biashara mjini
 
Tatizo la wanawake hususani wa kitanzania "chako chetu,chake chake" ie kuna mwanamke hata kipato chake hataki mumewe aguse sasa wa nini kumshirikisha kwenye cha kwako huyu mwanamke
Wanawake wengi wabinafsi kichizi😅 yani hela yako aile hata kama ni 300K ila ya kwake yeye aah hataki shobo nayo. Usiguse hata 100 japo anaweza akapokea hata 2M kwa mwezi ila wewe ndio umhudumie!

Huu ungese nimeukataa daima milele na Mungu atanipa wa kufanana nae tu
 
Wengi hufa mke na watoto huteseka ka mnafichana vitu vyenu Bora muachane Kuna mtu alikuwa na Mali hajashirikisha mtu ndugu, wala watoto na hivo vitu vitapotea bure tena maeneo ya biashara mjini
Wacha vipotee tu si ni jasho lake😅
Mwanamke wa kibongo ukimpa record ya unachoingiza lazma ahakikishe anajua kila senti ilivyotumika hata ukisaidia ndugu yaweza kuwa lawama
 
Habari Wana jamvi,

Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why?

Ladies take note

Kama unataka kuona pesa na vyanzo vyake nenda kawe teller wa benki au konda...

Ukiolewa we kazi yako kupika, kukosha vyombo na watoto, na kumridhisha mume...
 
Wacha vipotee tu si ni jasho lake[emoji28]
Mwanamke wa kibongo ukimpa record ya unachoingiza lazma ahakikishe anajua kila senti ilivyotumika hata ukisaidia ndugu yaweza kuwa lawama
Lazima mkae na muelewane vitu vinavoenda, Sasa Hadi kutoa msaada ilete shida kweli?
Aaargh Mimi mtu tusiyeongea same language Bora tuachane tu mana ni unafiki kati yenu na no love at all
 
Wanawake wengi wabinafsi kichizi[emoji28] yani hela yako aile hata kama ni 300K ila ya kwake yeye aah hataki shobo nayo. Usiguse hata 100 japo anaweza akapokea hata 2M kwa mwezi ila wewe ndio umhudumie!

Huu ungese nimeukataa daima milele na Mungu atanipa wa kufanana nae tu
Ila sheria ya ndoa ndo inasema hiki ulichoandika,
Haijalishi kipato cha mwanamke, ni jukumu la mwanaume kumlisha mkewe.

Tumeumbwa mateso.
 
Dah kazi kweli kweli mie sivumilii upumbavu na shida za mtu asiye jielewa na asiye supportive maana kuendelea kubaki naye ni sawa kuwa na sindano mwilini inakuchoma tu, Sasa partner wako sio supportive anawaza ujinga na vitu ambavyo hafikirii kesho ya familia huyo wa nini sasa, dah Mimi siogopi kuanza
Kabla ya kuamua Lazima uchanganue mema ya mtu,mabaya ya mtu, hasara na faida ya maamuz utakayoyafanya.

Kama mema Ni mengi, na faida za kuishi naye Ni nyingi,
Kufanya vitu kwa mihemko Ni hasara zaidi.

Kama Changamoto Ni pesa,
Unatumia TU Akili kuliweka sawa ili maisha mengine yaendelee.
 
Ila sheria ya ndoa ndo inasema hiki ulichoandika,
Haijalishi kipato cha mwanamke, ni jukumu la mwanaume kumlisha mkewe.

Tumeumbwa mateso.
Huo upuuzi wa sheria ya ndoa mtadili nao nyie! Chakula nitanunua ila mke lazma achangie kwenye kuijenga familia ili awe na uchungu na familia! Mwanamke pekee anaweza kufanya haya ni anayekupenda kwa dhati sio wale ambao wananufaika na huduma hizo!

Hii tabia ya kufuga wanawake kama paka au mbwa ndio imepelekea hata wao kuvunja ndoa kwao ni rahisi sababu hawana cha kupoteza! Mgawane mali kirahisi yeye hana alichowahi changia toka mmeanza atakuwa vipi na uchungu na wewe?

Nyumba umejenga wewe, gari umenunua wewe lako na lake, biashara umefungua wewe au kazi umemtafutia wewe .Yeye kazi yake ni kutanua mapaja tu na kujiliza liza na shida zake za kila siku akiskilizia utoe hela umpege tu! Na kazi anayo hapo...

Kwa sisi mila zetu za kipare mwanamke ni muwajibikaji sio mfugo!
 
Wanawake wengi wabinafsi kichizi[emoji28] yani hela yako aile hata kama ni 300K ila ya kwake yeye aah hataki shobo nayo. Usiguse hata 100 japo anaweza akapokea hata 2M kwa mwezi ila wewe ndio umhudumie!

Huu ungese nimeukataa daima milele na Mungu atanipa wa kufanana nae tu
Inakua Haina maana Sasa mwanamke kua na kazi
 
Huo upuuzi wa sheria ya ndoa mtadili nao nyie! Chakula nitanunua ila mke lazma achangie kwenye kuijenga familia ili awe na uchungu na familia! Mwanamke pekee anaweza kufanya haya ni anayekupenda kwa dhati sio wale ambao wananufaika na huduma hizo!

Hii tabia ya kufuga wanawake kama paka au mbwa ndio imepelekea hata wao kuvunja ndoa kwao ni rahisi sababu hawana cha kupoteza! Hana alichowahi changia toka mmeanza atakuwa vipi na uchungu na wewe?

Nyumba umejenga wewe, gari umenunua wewe lako na lake, biashara umefungua wewe au kazi umemtafutia wewe .Yeye kazi yake ni kutanua mapaja tu na kujiliza liza na shida zake za kila siku akiskilizia utoe hela umpege tu!
Hahah, hili la kuchangia nadhani litakupa ugumu zaidi kwenye suala la wewe kuwa KICHWA,

Vipi ni mbinu unayoitumia au unatarajia kuja kutumia?
 
Back
Top Bottom