wanaume wengi tuna underperform siku hizi, hili jambo sio Siri wanaume wenzangu. Hata mm sio yule crucial Man wa miaka mitano iliyopita msema keeling mpenz wa mungu.
Nimejaribu kujitathmini tatizo ni nini mwisho wa siku nimekuja na solutions zifuatazo.
Mosi wanawake wengi mnajisahau, the way you handle us before marriage is not the way you handle us after marriage,hapa naongelea sana sisi wanandoa.
Unakuta kabla ya ndoa tulipokuwa tuna date ulikuwa so active kwenye six by six, your perfume, your g string, bikini and whatever zimebadilika sana..utakuta mdada is so occupied na kazi,tunarudi wote home saa mbili, ukifika kazi zote za home unamuachia house girl, au utakuta mumsup kapitia msosi take away Kwa mangi, anakuambia baby Nina ma file yangu mawili matatu ngoja nizipitie kabla hatujalala, mimo pia namuambia wakati unazipitia ngoja nipige moja mbili tatu hapo jirani, Mara nakuta umelala, nakuonea huruma nakufunika na kukubusu shavuni, good night honey, nawe unajibu thanks darling.
Siku zingine nachelewa kuja home, nikifika nakuta unanisubiri nikifika naoga nakula, nakupa kamoja, kutokana na uchovu unaniambia mume wangu tupumzike tutafanya tena asubui, alfajiri madogo washaamka wanajianda kwenda Shule, mara wanagonga mlango WA chumbani maksudi, baba sisi tunaenda tunawai bus au tunawai namba, haya wanangu ngoja niwape pesa ya shule unawapa, unarud kitandani unamgusa wife anakuambia make it quick muda wa kazini umefika.
Weekend ijumaa mnatoka na mumsap mnapiga vyombo, mnarud Labda saa sita au saba, mko tungi, mnapigana cha kwanza bafuni au baada ya kuoga, kutokana na uchovu mnakoroma chalii, alfajiri saa moja au mbili hivi unampatia mumsap kamoja, Mara huyo sitting kushugulikia mambo ya usafi, the whole week amekuwa bussy na kaz za Ofisini, anasimamia usafi wakiwa na dada, after that wanahamia kufua na masuala ya kifungua kinywa.
Saa sita hivi mambo ya lunch na maswala mengine, saloon, vikoba, vikao vya harusi, baba nae hivyo hivyo, jioni mkirud baba kachelewa kapitia kwa washikaji mnarud saa tatu,anakupa viwili chali mnalala, alfajiri kamoja, watoto mlangoni daddy we are getting late for church .
Mnatoka church, lunch mnakula watoto homework Baada ya hapo mnajiandaa Kwa siku ya kesho job, usiku kamoja au viwili,.
Kwa hili mnategemea bao tano kweli dadazetu?