Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

Hata iyo mara mbili kuna ambao ni shidaaaa
Ndio shida madem wa kibongo, mtu kukupiga bao tatu mumo kwa mumo huyo atakua katoka jela. Ubaya mko wengi sana Ndio maana wanaume sio goigoi ila chovya chovya.
Mi mmojawapo napiga moja,ila safari yake ndefu saana, mara nyingi lazima mwenza apige yowe km mara 2. Na mie nikipiga yowe baadae basi tumemaliza. Zinabaki storo ndogondogo
 

Duh! This is a vivid Viscous life cycle of many couples. Na mwanaume hapo umejitahidi kuacha makandokando. Ukiyaweka tu basi hata hako kamoja kanakuwa dhaifu sana (Rejea post yangu kuhusu masturbation inavyoathiri nguvu za kiume)
 
Jamani ukipiga vitatu ujue umepoteza nguvu kubwa hivyo ufanisi wa kufanya kazi zakukuongezea kipato utapungua,kimoja cha afya kinatosha(dk 15)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] labda awe ni Mke wako..

Ukikutana na mwanamke wa pembeni lazma uonyeshe tofauti ya kutosha
 
Kwani vita? Vitatu vyote vya nini?
 
Duh! This is a vivid Viscous life cycle of many couples. Na mwanaume hapo umejitahidi kuacha makandokando. Ukiyaweka tu basi hata hako kamoja kanakuwa dhaifu sana (Rejea post yangu kuhusu masturbation inavyoathiri nguvu za kiume)
Yes mkuu na hapo nimejarubu kufipisha tu.
 

Nikupe hela na bado nikuridhishe? Nikipiga kamoja nimetosheka basi nachapa rapa
 
Tatizo HAMPO NATURAL..kuanzia RANGI ZENU...NYWELE...kwakweli mmekosa MVUTO wa ASILI....ni wachache sana WAKIWA na BIKINI wana Mvuto....wengi wenu MNASITIRIWA NA MAWIGI... SKINNY JEANS ....au MADERA TU.....siku ukilitoa hilo DERA LAKE......utatamani UKIMBIE..UTAKAVYOVIKUTA humo ndani SIVYO ULIVYOVITARAJIA kwake KWANN USIWE NA KIWANGO KIBOVU?.... Now WANAWAKE ...wale wa ASILI WAMEPOTEA kabisa..WENGI wanasaidiwa na UPEPO TU..Sidhani km mwanamme akimpata mwanamke anayemtamani atashindwa KUMSUUZA VIZURI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaaaz kwel kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amanda Cute acha kukariri. Siyo wanaume wote wako hivyo. Tatizo lenu wanawake wa sasa hasa Dar mnafanya biashara kwenye mapenzii. Wewe kama uko na mwanaume wako lazima ujue unamfanyaje awe kwenye form. Sasa wewe unakutana na mwanaume kwa kulapuana juu kwa juu unataka bao 3 za nini? Uliokutana nao ndiyo wanyonge kuna wenzako wanakimbia mabao.
Na kingine wanawake wengi wanafanywa na wanaume wengi hivyo kujenga usugu wa zoezi hilo. Lakini pia wanawake wengi hawajui namna ya kumfanya mwanaume aendelee na kupiga mabao.
Unakutana na mwanaume, umelala kama gogo, tangu anakutayarisha hutayarishiki, huna hamasa unayotengeneza, then jamaa akipiga bao mnaachana kihisia. Wanawake jitahidini kujiweka kimapenzi ili muwafaidi wanaume, vinginevyo mtaishia kulalamika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara chache saana huwa nachangia Mada humu ndani,

wewe dada utakuwa hujui nini maana ya mapenzi au kufika kileleni....mimi ni mmoja kati ya wanaume ambao siwezi kupiga goli 3 mfululizo sababu najua madhara yake japo wengine huona sifa

lakini goli langu moja ni sawa na goli 3 maana huwa natanguliza ushindi kwa msichana kabla sijapiga goli hata moja,
tatizo lililopo kwaa wanaume wengi ni kutokujua jinsi ya kumridhusha mwanamke na ndyo maana wanawake wengi wanaona kudungwa goli 3 -4 na mwanaume ndiyo kufika,
kinachotakiwa ni kuridhiana tendo, kuandaana, kuchezeana (mfano unakuda mschana anakuambia siwezi kunyoma hata siku moja) unategemea nn wakati mimi nazama chumvini mpaka unakojoa kabla sijaanza kuingia??

sijazoea kuandika aiseeee!! ningeandika mengi saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…