Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

Kwanini wanaume wamekua wadhaifu sana kitandani?

Vilio vya mashostee vinazidi sana. Kikweli hata mimi imefika mahali naamini kuwa wanaume wale wa shoka wanapungua. Sijui ni stress za maisha au laa ila kiukweli ni wanaume wachache sana mkienda kwenye majambozi akiwa mkavu hajaboost na pombe au dawa za kuongeza nguvu kuunganisha bao 3 imekua ngumu sana.

Unakuta ndiyo kwanza stim zimepanda yeye akiingia tuu huyo kamaliza na uume unalegea kama mlenda. Kiukweli mnatuchafua sana jitahidini kusoma mchezo na kuturidhisha basi punguzeni kula chipsy mayai, kule vyakula vya asili pia inawacost sana maana kutwa kushinda mitandaoni simu imejaa picha za ponograff mnaishia kujichua tuu hili nalo ni tatizo linaadhiri kisaikolojia pia uume unakosa kuwa strong.

Acheni kutuchafua jamani.
Tofautisha mwanaume na wanaume wa dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njooo huku mikoani hutorudia hiyo kauli ya kipuuzi
 
Unataka Mara nyingi hivyo, kwani mnaingia gharama gani inayokukera kuwa hutendewi haki.... Yaani kidume kijiue mara zote hizo kisa kukufurahisha wewe, halafu umempiga PESA za kutosha.. Eti unataka akufurahishe,. Unalipia? Acha afanye anachoweza, c kanunua unampangiaje matumizi.... Hiyo ndio shida ya penzi la pesa... Wala msilie... Ila ukiamua kunizawadia, msingi kiuno hadi utapenda.
 
Shunie huyo ni mwanamke au mwanamme ? Mi Sidhani kwamba mwanamke kupigwa bao nyingi ndo kuridhika.... Mi nnachojua kumwandaa mwanamke vya kutosha na baada ya hapo kurefusha safari... Mpaka Abiria aombe mwenyewe kushuka... Aseme mwenyewe 'nimefika naomba kushuka' Hapo "anapewa mizigo yake" anafunguliwa mlango na anashuka.
Ngoja aje ajibu
 
Unataka Mara nyingi hivyo, kwani mnaingia gharama gani inayokukera kuwa hutendewi haki.... Yaani kidume kijiue mara zote hizo kisa kukufurahisha wewe, halafu umempiga PESA za kutosha.. Eti unataka akufurahishe,. Unalipia? Acha afanye anachoweza, c kanunua unampangiaje matumizi.... Hiyo ndio shida ya penzi la pesa... Wala msilie... Ila ukiamua kunizawadia, msingi kiuno hadi utapenda.
Pesa si mnatoa wenyewe kwa viherehere vyenu
 
Kuna siku nilikuwa naongea na mama mmoja ambaye ni Mchungaji. Sasa akawa ananipa elimu ya Kiroho. Katika mazungumzo akagusia mambo mengi ambayo mwanaume unaweza kuwa umefungwa kwa giza bila wewe kujua. Akaniambia utakuta vijana wengi wanapungukiwa nguvu za kiume, unajua kwa nini? Ananiambia wadada wengi siku hizi ni wachawi na washirikina. Wamerithi au kufundishwa hasa na mama zao. Kila mwanamke unayetembea nae, katika ulimwegu wa roho anahesabika kama mkeo na anaweza kudai haki zote ikiwamo na nguvu zako za kiume, kwa sababu kufanya tendo la ndoa ni kufunga mkataba. Anaweza kukutesa kwa kukufanya hanithi ili uwe unamhonga sana kwa kigezo cha kukutunzia siri kwamba una uume legelege. Pia ikitokea mmeachana, wanawake wengi wana roho za visasi, hivyo anaweza kukufunga nguvu zako za kiume, ukawa husimamishi au uko legelege kwa mwanamke yeyote. Kwa hiyo mwanangu, ni kweli chakula kina mchango katika nguvu za kiume, lakini wengi wamefungwa na wanawake waliowahi kutembea nao. Akaniambia kijana akijikuta yumo kwenye hali hii, anapaswa kutubu na kuacha uzinzi kabisa. Jaribu kufikiri umepitia wanawake 12 na kila mmoja amekufunga nguvu zako, je utakuwa na hali gani? Nawasilisha.
 
Tatu zote za nini? Unataka kunitanguliza kaburini mapema, acheni zenu jamani! Hujiulizi kwa nini wanaume wengi wanatangulia na kuacha wajane..mambo yenyewe ndio kama hayo, unang'ang'ana na bao saba chakula chenyewe wali maharage..hah hah kuna kupona hapo? Acha zako bhana
 
Back
Top Bottom