Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Kwanini wanaume wananunua dada poa?

Sawa wanawake mtaani,ofisini wapo lakini kuanza kutongozana kidogo ni process lakini Kununua madada poa ni simple tu unapata huduma

Kwaiyo kununua madada poa ni kuokoa muda.
 
Habari wanajukwaa,

Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo.

Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua.

So inabidi tuulize, why wanaume hutumia dadapoa. Siulizi kusema vibaya mtu yoyote, coz tunatofautiana Imani, mapenzi, hisia, mitazamo etc. na kutumia dadapoa ni kama kupiga puli hamna mwanaume atakubali ila ndo wengi hufanya kwa siri.

Sipo hapa kujua nani anafanya nini Nataka nipate Sababu tu zinazodhaniwa kufanya wanaume kufata dadapoa. Kwanzia watoto mpaka wababa wenye wake na watoto...madadapoa wengine wana wateja mpaka watano kwa siku.

Kwa nini na Kuna mademu mitaani, maofisini, vyuoni, nyumbani nk. Sababu zinazosemwa ni:
  • Kutoridhika na mahusiano au ndoa
  • Mapenzi siku hizi ni gharama so hamna tofauti na kununua dadapoa
  • Wengine hawaenjoy mademu normal wanapenda mambo mazuri mazito
  • Na kadhalika
So wanajukwaa, waume kwa wake, why why why? Naomba majibu.
Kwanza ni ngumu mwanamke mmoja kumtosheleza mwanaume kwenye suala la kitandani.. pili wanaume wengi huwa hawana subila kwenye mapenzi, wanataka wakati wote sehemu yoyote. Hivyo wanaume wengi walio owa huwa hawapewi vizuri na wake zao . Unakuta mwanaume ametoka kwenye mihangaiko yake anapitia baa kuywa bia moja . Baada ya hapo dam ina chemka anafikiri akifika nyumbani anakuta mke kalala chakula kiko mezani ,akingia kitandani mke akimugusa anasema kesho sasa nimechoka. Kaangarie chakula mezani. Mme akifikiri shida hizo, anaamuwa kuchukuwa dada powa amalize ham ili akifika nyumbani asisumbuwe mke wake.
 
Mapenzi gharama asikwambie mtu kama hujajipata bora uwe single tu
 
Mapenzi gharama asikwambie mtu kama hujajipata bora uwe single tu
Kuna saa mwili unahitaji kupunguza baadhi ya vitu sasa ukute umekaa zako na mkeo ndani we unatujaza ujinga uku et bora uwe single👊
 
Back
Top Bottom