Hamiyungu
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 594
- 751
Punguza kuyapiga jeki na kuyasitiri sio maziwa yana achwa wazi tu!Hivi kwanini wanaume hupenda kuangalia maziwa ya mwanamke. Hii tabia inakera sana unakuta mtu unamheshimu kama kaka au ndugu, wakati wa kuongea nae badala ya kuweka concetration katika kile mnachoongelea yeye anaanza kukodolea macho kifuani (maziwa).
Hii tabia inakera ipo siku nitakuja kumtemea mate usoni mtoto wa mtu.