Kwanini wanaume wanapenda kufanya hivi wakati wa ku-sex?

Hahahaaaa.
Ili asifanye hivyo wewe unatakiwa uoneshe hisia ili uamshe hisia zake kwako.

Usipoamsha hisia zake atavuta hisia kwa mtu mwingine ili game inoge
Tatizo linaanzia kwake pale anapoamua kunipa sifa si zangu..na nikamshtukia lazima mood ikate..inabidi kupretend tu ili amalize kumwaga asepe.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…