Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa.
Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa lakini kwa wanawake washindwe?
Kama kufanya kazi hata wanawake nao wanafanya tena mnaweza hata mkawa ofisi moja na yeye akawa anapokea pesa ndefu ,akawa pia mbana matumizi mzuri tu na hapo bado hajahongwa lakini mwisho wa siku hatoboi tofauti na sisi wanaume.
Hii ni siri kubwa iliyopo kwenye pesa maana dunia nzima wakitajwa wenye pesa ni sisi wanaume na sio wanawake.
Imekaaje hii?