Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hakika🤣Ila pesa yenu huwa ni tamu tuache utani.....
hata kama nnayo yangu yani we ukinipa najisikia raha sana braza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika🤣Ila pesa yenu huwa ni tamu tuache utani.....
hata kama nnayo yangu yani we ukinipa najisikia raha sana braza
Wanawake gani hao ambao hawaibi, uje nikuonyeshe labda unakutana na wamama wa miaka hiyo ila sio hawa mabinti wa siku hizi wizi ni taaluma yao ya kwanza. Na wanajua kuongeza sifuri plus kulalamika mahitaji yasiyo na ulazima kuliko mtu yoyote yule.Wanaume wanakuwa na risk sn kazin mfano mzuri n humu serikalin ambapo mm nipo wanaume wanaiba sn na n mafisadi hatari ila wanawake n waoga mno kwenye mishe izo so mwanaume anaweza fanya risk yyte ya kupata hela ambapo mwanamke hawez ingawa wako sekta moja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hata mm nashangaa kwakweli Bora nimekuwa mwanamke nisingeweza kumpa mtu Hela ambae hanidai 😀
Inaleta mantiki comment yako.Kwa asili kutafuta kwa jasho. Mwanamke hakuumbiwa hivyo. Ndio maana hawawezi wao adhabu yao ni kuzaa kwa uchungu tu. Hayo mengine wanajiongeza kutokana na mahitaji ya nyakati. Lkn hawawezi
Wanaiba bila kutumia nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanawake gani hao ambao hawaibi, uje nikuonyeshe labda unakutana na wamama wa miaka hiyo ila sio hawa mabinti wa siku hizi wizi ni taaluma yao ya kwanza. Na wanajua kuongeza sifuri plus kulalamika mahitaji yasiyo na ulazima kuliko mtu yoyote yule.